Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumpiga mtu ni unyama na kinyume na sheria

NIMESEMA haya mara nyingi ninafikiri ni muhimu kuyarudia ili wale wagumu wa kuelewa wayasome mara nyingi na kujifunza. Tunaweza kuyarudia mara kwa mara hadi yaingie akili mwao.  Kumpiga mtu ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Maromboso jijini Arusha, Denis Shayo (45) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumjeruhi kwa risasi, Yusufu Mukhtar (37) Mtanzania mwenye asili ya Asia, mkazi wa Majengo Sokoni jijini hapa.

 

10 years ago

CloudsFM

Young Thug akamatwa kwa kosa la kutishia kumpiga mtu risasi.

Rapper kutoka Atlanta, Young Thug amewekwa chini ya ulinzi mapema siku ya jana huko Sandy Springs, Georgia baada ya kutishia kumpiga risasi mlinzi wa mall.

July 7, Jeffrey Williams au Young Thug alifanya vurugu  kwenye mall hiyo   “ upscale Perimeter Mall” ambapo alitishia kumpiga risasi ya uso mlinzi aliyekua akimtoa nje.

Young thug ni mmoja ya wasanii watakovaa steji ya tuzo za “MTV MAMA” Jumamosi hii.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yawasaka wanaoishi nchini kinyume cha sheria

Wizara ya Mambo ya Ndani imeanza operesheni ya kuwasaka raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini kinyume cha sheria ili warudishwe makwao.

 

11 years ago

Michuzi

aliyejiunganishia maji kinyume na sheria Kimara kwa musuguri matatani

 Wafanyakazi wa kampuni ya Majembe Auction Mart wakifungua mashine ya kutengenezea matofali katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam.Wizara ya Maji iliamrisha kukamatwa kwa vifaa na mali mbalimbali za Martin Kessy aliyekuwa amejiunganishia maji kinyume na sheria na kufanya biashara ya kufyatua matofali.  Zoezi hilo linaendelea. Zoezi hilo limefanyika jana katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam jana.  .

 Mwenyekiti wa kamati maalum ya Wizara ya Maji, Eng. Hamis...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Raia wa Yemen ahukumiwa kwa kuingia nchini kinyume cha sheria

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Hassan Said Awadh (48), raia wa Yemen kulipa faini ya sh 300,000 au kwenda jela miaka mitatu kwa makosa mawili ikiwamo kuingia nchini kinyume...

 

9 years ago

GPL

WALIOSAMBAZA MATOKEO YA URAIS KINYUME CHA SHERIA WAPANDISHWA KIZIMBANI, DAR

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (katikati), akizungumza na mmoja kati ya vijana nane waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo, kwa tuhuma za kusambaza matokeo ya kura za mgombea nafasi ya urais wa chama hicho katika mitandao ya kijamii kinyume na utaratibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Imedaiwa vijana zaidi ya 190 walikamatwa kwa kosa hilo.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uhamiaji Mkoa wa Singida yawakamata Warundi walioingia nchini kinyume cha sheria

SAM_0110

Baadhi ya raia wa nchini Burundi walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa kwenye ofisi za idara ya Uhamiaji Mkoa wa Singida wakisubiri kurudishwa kwao wakiwa chini ya ulinzi wa askari wa kikosi cha uhamiaji

Na, Jumbe Ismailly

[SINGIDA] Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Singida inawashikilia watu saba raia wa nchini Burundi waliokutwa wakiwa katika Mji mdogo wa Itigi,wilayani Manyoni kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria.

Afisa uhamiaji Msaidizi wa Mkoa wa Singida,Moses Mandago alisema...

 

9 years ago

Michuzi

KUSUDIO LA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA

TAARIFA KWA UMMA


Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anakusudia kuyachukulia hatua Mashirika yanayoendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. 
Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kulipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya NGOs.Kwa taarifa hii, Mashirika husika yanatakiwa yawe yamerekebisha dosari tajwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wageni wote wanaoishi nchini na kufanya kazi kinyume cha sheria kukamatwa – Masauni

1

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Yussuf Masauni  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zinazochukuliwa na Wizara kudhibiti wageni wanaoishi nchini na kufanya kazi kinyume na sheria. Mkutano huo ulifanyika Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam.

2

Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Yussuf Masauni, wakati wa mkutano wa kuzungumzia hatua zinazochukuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani