Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


aliyejiunganishia maji kinyume na sheria Kimara kwa musuguri matatani

 Wafanyakazi wa kampuni ya Majembe Auction Mart wakifungua mashine ya kutengenezea matofali katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam.Wizara ya Maji iliamrisha kukamatwa kwa vifaa na mali mbalimbali za Martin Kessy aliyekuwa amejiunganishia maji kinyume na sheria na kufanya biashara ya kufyatua matofali.  Zoezi hilo linaendelea. Zoezi hilo limefanyika jana katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam jana.  .

 Mwenyekiti wa kamati maalum ya Wizara ya Maji, Eng. Hamis...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Maji atoa siku 90 kwa Mkandarasi Megha Engineering anaesambaza bomba la maji mradi wa Mlandizi Kimara

001

Waziri wa maji Jumanne Maghembe (wa kwanza kulia) akizungumza na wakandarasi wanaojenga bomba la maji la Mlandizi Kimara Januari 20, 2015 mkoani Pwani wakati alipotembelea tembelea miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na maji Taka (DAWASA),  kwa lengo la kupata tathimini ya mradi huo ulipofikia sasa.(Habari Picha na Philemon Solomon).

WAZIRI wa maji Jumanne Maghembe ametoa siku 90, kwa mkandarasi Megha Engineering Infrastructure Limited  anaesambaza bomba la maji mradi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Raia wa Yemen ahukumiwa kwa kuingia nchini kinyume cha sheria

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Hassan Said Awadh (48), raia wa Yemen kulipa faini ya sh 300,000 au kwenda jela miaka mitatu kwa makosa mawili ikiwamo kuingia nchini kinyume...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA MLANDIZI, KIMARA NA TABATA

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linawatangazia  wakazi wa KIMARA na TABATA; Miji ya Kibaha na Mlandizi mkoani Pwani  kuwa, Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umepata hitilafu kuanza siku ya Jumatano ya tarehe 03.12.2014 baada ya kuharibika kwa pampu moja ya kusukuma Maji (Pre-lift pump). 
Hali hii imelazimisha kupungua kwa uzalishaji Maji. 
Mafundi wa DAWASCO wanaendelea na matengenezo na kuhakikisha Pampu hii inafanya kazi na Huduma ya  Maji itarejea katika hali ya...

 

10 years ago

Michuzi

SITA MBARONI KWA KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA, KULIMA BHANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita (6) kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, kulima na kukutwa na bhangi pamoja na kuingia nchini bila kibali, kufuatia operesheni inayoendelea Mkoani Dodoma kusaka watuwanaojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali.
Akithibitisha matukio hayo kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amewataja watu wanaoshikiliwa...

 

11 years ago

Michuzi

News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria

Mahakama ya Rufani imewaachia huru wafungwa wawili raia China (pichani)  waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la uvuvi haramu katika katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania (Exclusive Economic Zone- EEZ) Wafungwa hao , Hsu Chin Tai ambaye alikuwa nahodha wa meli ya Tawaliq 1 waliyokamatwa nayo wakifanya uvuvi huo haramu na aliyekuwa wakala wa meli hiyo, pamoja na baharia Zhao Hanquing.   Walitiwa hatiani na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Februari 23,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kumpiga mtu ni unyama na kinyume na sheria

NIMESEMA haya mara nyingi ninafikiri ni muhimu kuyarudia ili wale wagumu wa kuelewa wayasome mara nyingi na kujifunza. Tunaweza kuyarudia mara kwa mara hadi yaingie akili mwao.  Kumpiga mtu ni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM wakwamisha mradi wa maji Kimara

MRADI wa maji ya kisima uliyozinduliwa hivi karibuni na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala, mtaa wa Golani Kata ya Kimara jijini Dar es Salaam umekataliwa na wanachama wa Chama...

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-

WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yawasaka wanaoishi nchini kinyume cha sheria

Wizara ya Mambo ya Ndani imeanza operesheni ya kuwasaka raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini kinyume cha sheria ili warudishwe makwao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani