SIKILIZA MAPIGO YA "DUNDIKA" NDANI YA ALBAMU YA "PIGA MOYO KONDE" KUTOKA KWA MSAANI ERICA
![](http://img.youtube.com/vi/mCqPlNtihao/default.jpg)
Msaani Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde ilianza kupatikana rasmi mwezi wa Juni 30, 2015 na kuanza kupatika katika vianzo vya miziki kama Google Play na Itune. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mCqPlNtihao/default.jpg)
introducing erica Lulakwa's New song Dundika.
Kwa maelezo zaidiFollow Erica Lulakwa:https://www.ericalulakwa.comhttps://www.instagram.com/ericalulakwahttps://twitter.com/ericalulakwahttps://www.facebook.com/EricaLulakwa
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Listen to Erica Lulakwa’s Brand New Song “Dundika”
Debut Album “Piga Moyo Konde” is out! On Itunes http://itunes.apple.com/album/id10046…
Dundika is the 2nd Song released from this Album. Listen free on Spotify and Tidal.
If you like the music, I would truly appreciate your support in writing a review or sharing links to iTunes or Google Play on social media.
Listen to her music on you tube below here.
Follow Erica Lulakwa:
https://www.ericalulakwa.com
https://www.instagram.com/ericalulakwa
https://twitter.com/ericalulakwa
...
9 years ago
Michuzi29 Dec
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-X_nkVyI0QjI/VNUrhPN-1iI/AAAAAAAABN8/23m5GJXWNl0/s72-c/FullSizeRender.jpg)
MSIKILIZE MSAANI ERICA LULAKWA ALIVYOELEZA YOTE KATIKA KIPINDI CHA PAPASO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-X_nkVyI0QjI/VNUrhPN-1iI/AAAAAAAABN8/23m5GJXWNl0/s1600/FullSizeRender.jpg)
Mahojiano ya msaani Erica alipotembelea Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) na kupata fursa ya kuzungumzia muziki wake na ujio wa album yake ya kwanza katika kipindi maarufu cha Papaso FM 1 & 2...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Tatizo la mapigo ya moyo kwenda vibaya
9 years ago
Mwananchi30 Oct
Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida yanahatarisha uhai
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bDID1Gw0OuA/VgM4tvhkTdI/AAAAAAAH6_w/4TDkiG2ytWM/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Muhimbili yakabidhiwa msaada wa mashine za kufuatilia mapigo ya moyo na tasisi ya Human Welfare Trust
11 years ago
Dewji Blog01 May