MSIKILIZE MSAANI ERICA LULAKWA ALIVYOELEZA YOTE KATIKA KIPINDI CHA PAPASO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-X_nkVyI0QjI/VNUrhPN-1iI/AAAAAAAABN8/23m5GJXWNl0/s72-c/FullSizeRender.jpg)
Pichani mwimbaji maarufu wa muziki wa kizazi kipya "bongo flava" Erica Lulakwa ambaye anayeishi na kufanya kazi zake za muziki katika mji maarufu wa Los Angeles uliokuwepo katika jimbo la California nchini Marekani. Kwa habari zaidi na mawasiliano tembelea tovuti lake la http://www.ericalulakwa.com
Mahojiano ya msaani Erica alipotembelea Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) na kupata fursa ya kuzungumzia muziki wake na ujio wa album yake ya kwanza katika kipindi maarufu cha Papaso FM 1 & 2...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mCqPlNtihao/default.jpg)
SIKILIZA MAPIGO YA "DUNDIKA" NDANI YA ALBAMU YA "PIGA MOYO KONDE" KUTOKA KWA MSAANI ERICA
Msaani Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde ilianza kupatikana rasmi mwezi wa Juni 30, 2015 na kuanza kupatika katika vianzo vya miziki kama Google Play na Itune. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na...
11 years ago
GPL11 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/eCVPoSZhDSU/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mCqPlNtihao/default.jpg)
introducing erica Lulakwa's New song Dundika.
Kwa maelezo zaidiFollow Erica Lulakwa:https://www.ericalulakwa.comhttps://www.instagram.com/ericalulakwahttps://twitter.com/ericalulakwahttps://www.facebook.com/EricaLulakwa
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/eCVPoSZhDSU/default.jpg)
11 years ago
MichuziWimbo wa Hongera wanawake na Erica Lulakwa Gleenn
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Listen to Erica Lulakwa’s Brand New Song “Dundika”
Debut Album “Piga Moyo Konde” is out! On Itunes http://itunes.apple.com/album/id10046…
Dundika is the 2nd Song released from this Album. Listen free on Spotify and Tidal.
If you like the music, I would truly appreciate your support in writing a review or sharing links to iTunes or Google Play on social media.
Listen to her music on you tube below here.
Follow Erica Lulakwa:
https://www.ericalulakwa.com
https://www.instagram.com/ericalulakwa
https://twitter.com/ericalulakwa
...
11 years ago
Michuzi19 Apr
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/eCVPoSZhDSU/default.jpg)
MSANI ERICA LULAKWA AIBUKA NA SINGLE YAKE MPYA "HONGERA WANAWAKE"
Kwa ubora wa Single ya Hongera Wanawake pakua hapa
iTune :- http://itunes.apple.com/album/id975646987
Mkito :- https://mkito.com/song/hongera-wanawake/13611
Maelezo zaidi kuhusu msani Erica tembelea tovuti yake binafsi http://www.ericalulakwa.com