Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhimbili yakabidhiwa msaada wa mashine za kufuatilia mapigo ya moyo na tasisi ya Human Welfare Trust

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa Mashine mbili  ambazo zitatumika kufuatilia mapigo ya moyo ya mgonjwa mahututi akiwa kwenye tiba ( Patient Cardiac monitors).  Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi mashine hizo ambazo zimetolewa na Mfuko wa Human Welfare Trust, Veena Joa,  amesema wataendelea kusaidia kutoa huduma mbalimbali kwakua Hopsitali ya Taifa Muhimbili inategemewa na wananchi wengi wana imani nayo.  Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Dkt....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Hussein Kidanto (kushoto) akipokea mashine za matibabu ya kufuatilia mwenendo wa mapigo ya moyo kutoka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya Human Welfare Trust, Gulab Shah, kwenye makabidhiano ya mashine hizo zilizotolewa ikiwa ni msaada kutoka kwa wanachama wa taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni wanachama wa taaisi hiyo

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA TISA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA AKAPATE MATIBABU YA MOYO MUHIMBILI


NA  YEREMIAS  NGERANGERA…NAMTUMBOMtoto mwenye umri wa miaka  tisa na mwanafunzi wa darasa la tatu  katika shule ya msingi Likuyuseka wilayani Namtumbo  mkoani Ruvuma Jeska James Kifaru anaomba kutoka kwa wasamaria wema kumsaidia mchango wa fedha ili aweze  kwenda matibabu ya moyo katika hospitali ya Taifa Muhimbili  baada ya wazazi wake kutokuwa na uwezo wa kumfikisha katika hospitali hiyo.Akiongea akiwa katika ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo  Jeska alisema anaomba msaada kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tatizo la mapigo ya moyo kwenda vibaya

Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na kusinyaa ambapo husababisha damu kuingia na kutoka kwenye moyo. Umeme kwa kawaida hufuata mkondo na mapigo ya moyo kwa kasi ya kawaida.

 

9 years ago

Mwananchi

Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida yanahatarisha uhai

Moyo wenye afya njema huweza kutoa mapigo ya moyo yaliyo katika mpangilio sawa ikiratibiwa na uwapo wa nguvu ya msukumo wa umeme maalumu.

 

10 years ago

Vijimambo

SIKILIZA MAPIGO YA "DUNDIKA" NDANI YA ALBAMU YA "PIGA MOYO KONDE" KUTOKA KWA MSAANI ERICA


Msaani Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la  “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde  ilianza kupatikana rasmi mwezi wa Juni 30, 2015 na kuanza kupatika katika vianzo vya miziki kama Google Play na Itune. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi  duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muhimbili yapokea mashine

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa mashine yenye thamani ya sh milioni 24 kutoka Serikali ya India. Mashine hiyo itatumiwa na wagonjwa wenye matatizo ya figo waliopo katika wodi...

 

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA

Na Makame Mshenga- Maelezo ZanzibarShirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uingereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
 Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi. 
Maradhi hayo ni pamoja na...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UENGEREA

Na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar
Shirika la Shistosomiasis Control Initiative (SCI) la Uengereza limetoa Msaada wa Magari mawili aina ya Toyota Double Cabin kwa Wizara ya Afya Zanzibar kupitia kitengo chake cha Maradhi yasiyopewa umuhimu (NTD).
 Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi. Maradhi hayo ni pamoja na...

 

9 years ago

Mtanzania

Mashine ya MRI Muhimbili yaharibika tena

mictuVeronica Romwald na Allen Msapi (GHI), Dar es Salaam

MASHINE ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali ijulikanayo kama Magnetic Reasonance Imaging (MRI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imeharibika tena baada ya kufanya kazi kwa siku mbili, tangu ilipofanyiwa matengenezo na Kampuni ya Philips.

Mashine hiyo ilifanyiwa matengenezo kutokana na shinikizo la Rais Dk. John Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kuamuru zifanyiwe marekebisho haraka.

Katika ziara yake hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani