Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida yanahatarisha uhai
Moyo wenye afya njema huweza kutoa mapigo ya moyo yaliyo katika mpangilio sawa ikiratibiwa na uwapo wa nguvu ya msukumo wa umeme maalumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Tatizo la mapigo ya moyo kwenda vibaya
Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na kusinyaa ambapo husababisha damu kuingia na kutoka kwenye moyo. Umeme kwa kawaida hufuata mkondo na mapigo ya moyo kwa kasi ya kawaida.
10 years ago
Michuzi
Muhimbili yakabidhiwa msaada wa mashine za kufuatilia mapigo ya moyo na tasisi ya Human Welfare Trust
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa Mashine mbili ambazo zitatumika kufuatilia mapigo ya moyo ya mgonjwa mahututi akiwa kwenye tiba ( Patient Cardiac monitors). Akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi mashine hizo ambazo zimetolewa na Mfuko wa Human Welfare Trust, Veena Joa, amesema wataendelea kusaidia kutoa huduma mbalimbali kwakua Hopsitali ya Taifa Muhimbili inategemewa na wananchi wengi wana imani nayo. Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Dkt....
10 years ago
Vijimambo
SIKILIZA MAPIGO YA "DUNDIKA" NDANI YA ALBAMU YA "PIGA MOYO KONDE" KUTOKA KWA MSAANI ERICA
Msaani Erica Lulakwa ambaye kwa hivi sasa anaishi na kufanya shughuli za muziki nchini Marekani ameweza kutoa Albamu yake ya kwanza inayo kwenda kwa jina la “PIGA MOYO KONDE.” Album ya Piga Moyo Konde ilianza kupatikana rasmi mwezi wa Juni 30, 2015 na kuanza kupatika katika vianzo vya miziki kama Google Play na Itune. Baadhi ya nyimbo ambazo zimeshaanza kusikilizwa kwa wingi duniani ni kibao cha “DUNDIKA” ambacho kina midundo ambayo inaendana na jina la wimbo wenyewe na utamu usio na...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai wa wanyamapori
Amesema licha ya kuwa binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...
10 years ago
Raia Mwema19 Aug
Lowassa: Hali isiyo ya kawaida huibua hatua zisizo za kawaida
WIKI iliyopita niliandika kusema kwamba Edward Lowassa kuhama kutoka chama kilichomlea ilikuwa ni
Jenerali Ulimwengu
10 years ago
Mwananchi31 Jul
Utafiti: Makoti ya madaktari yanahatarisha afya za wagonjwa
>Historia inaonyesha kuwa madaktari walianza kuvaa makoti kama vazi la kazi takribani miaka 100 iliyopita. Kuanzia miaka ya 1800 hadi kufikia mwaka 1915 lilikuwa ni jambo la kawaida kwa daktari kuvaa koti anapowahudumia wagonjwa.
5 years ago
CCM Blog
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA MOYO WALIOPATWA NA CORONA

Na Mwandishi maalum – Dar es Salaam24/04/2020 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam.Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Janabi alipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kuona ni namna gani wataalamu wa Taasisi yake wataweza kutoa huduma kwa ...
5 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo
Madaktari Bingwa wa Moyo toka India , Wanatarijiwa kupambana na ugonjwa wa Moyo wa kuzaliwa kwa Watoto


Na Mwandishi Wetu ,Kutokea kwa ugonjwa wa moyo wa kuzaliwa (CHD) kunatazamwa kwa usawa kwa duniani kote, pamoja na kutofautiana kati ya mikoa na nchi kutokana na maumbile, mazingira na mabadiliko ya kiepijenetiki. Takriban watoto 8 kati 1000 wanaozaliwa wakiwa hai wanazaliwa na CHD duniani kote. Takwimu hii kwa ujumla inaaminika zaidi. Hata hivyo, kutokana na ukosefu wa takwimu sahihi katika bara la Afrika, watoto walioathirika na CHD barani Afrika inaweza kuwa wengi sana.Watoto ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania