Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA ASHTAKIWA KWA KOVA

Waandishi wetu
KIMENUKA! Mtangazaji na MC (master of ceremony) maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameivalia njuga tabia ya mastaa kuhusika na matusi ya mtandaoni na kupiga picha za utupu ambapo kwa kuanza amemshitaki mwanadada Wema Isaac Sepetu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akimtuhumu kuwa kati yao. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Akizungumza na Ijumaa katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMISHINA KOVA AWATAKA MAAFISA NA ASKARI KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUFUATA MAADILI

Kamanda wa Polisi  Kanda Maalum ya Dar es salaam,Kamishna Suleiman Kova (wa nne kutoka kushoto) amewataka askari wote  wa Kanda hiyo  kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia haki za binadamu, na kufuata maadili ya  kazi katika utendaji wao wa kila siku.
Kamishna Kova ameyasema hayo mwanzoni mwa wiki hii wakati akiongea na Maafisa na Wakaguzi wa Polisi katika kikao cha utendaji kilichofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Oysterbay, Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kusisitiza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanasiasa ashtakiwa kwa kulangua watoto

Mwanasiasa mashuhuri,wanajeshi pamoja na wafanyibiashara wamefikishwa mahakamani nchini Niger kwa kuhusika na ulanguzi wa watoto.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ashtakiwa kwa kuvizia siri za Marekani

Mamlaka nchini Marekani imemshtaki mfanyibiashara wa Uchina kwa kudukua mifumo ya kompyuta ili kuiba habari za miradi ya kijeshi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Diendere ashtakiwa kwa mauaji ya Sankara

Kiongozi wa mapinduzi Burkina Faso, Gilbert Diendere ameshtakiwa kwa mauaji ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara

 

9 years ago

Mtanzania

Taylor Swift ashtakiwa kwa wizi

Taylor_SwiftNEW YORK, MAREKANI

MSANII maarufu zaidi duniani kwenye mtandao wa Instagram, Taylor Swift, ameshtakiwa kwa kuiba mistari ya wimbo wa msanii mwenzake, Jesse Braham na kuutumia katika wimbo wake maarufu wa ‘Shake It Off’.

Jesse alisema wimbo huo aliutunga mwaka 2013, ulijulikana kwa jina la ‘Haters Gone Hate’, hivyo anashangaa kuona baadhi ya mistari katika wimbo wa Taylor.

Iwapo Taylor atapatikana na hatia atatakiwa kulipa faini ya dola milioni 42 na huku mshitaki akitaka jina lake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu ashtakiwa kwa kumdharau rais

Mwanablogu maarufu lakini anayezusha mzozo Kenya ameshtakiwa kwa kumdharau rais,

 

9 years ago

BBCSwahili

Muhubiri ashtakiwa kwa kusababisha kifo

Muhubiri mwenye utata James Ng'ang'a ameshtakiwa kwa kusababisha kifo kupitia uendeshaji wa gari vibaya.

 

10 years ago

StarTV

Mama ashtakiwa kwa kutupa mtoto.

Mama mmoja nchini Australia anashtakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mtoto wake mchanga ambaye alikutwa akilia katika eneo alilotelekezwa kwenye mfereji unaopitisha maji machafu pembeni ya barabara mjini Sydney,ambapo Polisi wanakisia kuwa mtoto huyo alikuwa katika eneo hilo kwa siku tano.

Waendesha baiskeli walisikia sauti ya mtoto ikitokea kwenye eneo hilo siku ya jumapili.

Mwanamke huyo,Saifale Nai alitiwa nguvuni na Polisi baada ya msako uliodumu kwa saa kadhaa kwa kupata...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cosby ashtakiwa kwa dhuluma za kimapenzi

Mwigizaji na mchekeshaji mkongwe wa Marekani Bill Cosby ameshitakiwa kwa kumdhulumu kimapenzi mwanamke anayedai kuwa alibakwa na mwigizaji huyo alipokuwa na umri wa miaka 15.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani