Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diendere ashtakiwa kwa mauaji ya Sankara

Kiongozi wa mapinduzi Burkina Faso, Gilbert Diendere ameshtakiwa kwa mauaji ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mwanzilishi wa Death Row Records, Suge Knight ashtakiwa kwa mauaji

Mwanzilishi wa Death Row Records, Suge Knight ameshtakiwa kwa kuhusika na mauaji na pia kujaribu kuua baada ya kuwagonga kwa gari watu wawili kufuatia majibizano huko Compton wiki iliyopita. Anaweza kufungwa kifungo cha maisha kama akipatikana na hatia. Mashtaka rasmi yamekuja baada ya dhamana yake ya dola milioni 2.2 kukataliwa. Knight, 49, anashtakiwa kwa kuwagonga […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Polisi Kenya ashtakiwa kwa mauaji wakati wa amri ya kutotoka nje usiku

Polisi mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa mauaji ya kijana Yasin Moyo, 13, ambaye alipigwa risasi akiwa barazani kwao

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

10 years ago

GPL

WEMA ASHTAKIWA KWA KOVA

Waandishi wetu
KIMENUKA! Mtangazaji na MC (master of ceremony) maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ameivalia njuga tabia ya mastaa kuhusika na matusi ya mtandaoni na kupiga picha za utupu ambapo kwa kuanza amemshitaki mwanadada Wema Isaac Sepetu kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova akimtuhumu kuwa kati yao. Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu. Akizungumza na Ijumaa katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu ashtakiwa kwa kumdharau rais

Mwanablogu maarufu lakini anayezusha mzozo Kenya ameshtakiwa kwa kumdharau rais,

 

10 years ago

BBCSwahili

Ashtakiwa kwa kumtia mimba mwanawe

Mahakama moja nchini Kenya imemshtaki afisa mmoja wa wadi ya Bukembe kwa kulala na mwanawe wa kike kwa zaidi ya miaka miwili

 

9 years ago

Mtanzania

Taylor Swift ashtakiwa kwa wizi

Taylor_SwiftNEW YORK, MAREKANI

MSANII maarufu zaidi duniani kwenye mtandao wa Instagram, Taylor Swift, ameshtakiwa kwa kuiba mistari ya wimbo wa msanii mwenzake, Jesse Braham na kuutumia katika wimbo wake maarufu wa ‘Shake It Off’.

Jesse alisema wimbo huo aliutunga mwaka 2013, ulijulikana kwa jina la ‘Haters Gone Hate’, hivyo anashangaa kuona baadhi ya mistari katika wimbo wa Taylor.

Iwapo Taylor atapatikana na hatia atatakiwa kulipa faini ya dola milioni 42 na huku mshitaki akitaka jina lake...

 

10 years ago

StarTV

Mama ashtakiwa kwa kutupa mtoto.

Mama mmoja nchini Australia anashtakiwa kwa kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mtoto wake mchanga ambaye alikutwa akilia katika eneo alilotelekezwa kwenye mfereji unaopitisha maji machafu pembeni ya barabara mjini Sydney,ambapo Polisi wanakisia kuwa mtoto huyo alikuwa katika eneo hilo kwa siku tano.

Waendesha baiskeli walisikia sauti ya mtoto ikitokea kwenye eneo hilo siku ya jumapili.

Mwanamke huyo,Saifale Nai alitiwa nguvuni na Polisi baada ya msako uliodumu kwa saa kadhaa kwa kupata...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ashtakiwa kwa kuvizia siri za Marekani

Mamlaka nchini Marekani imemshtaki mfanyibiashara wa Uchina kwa kudukua mifumo ya kompyuta ili kuiba habari za miradi ya kijeshi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani