Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Auawa akidaiwa kuiba mahindi mabichi

Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Sambila Mihayo anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 22 ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiiba mahindi mabichi shambani katika Kitongoji cha Ilolanguli Kijiji cha Mbabani Wilaya ya Geita mkoani hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ANASWA AKIIBA MAHINDI, ALAZIMISHWA KULA MABICHI!

Akilazimishwa kula maindi hayo. HAMIDA HASSAN Jamaa ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejikuta akionja joto ya jiwe baada ya kudaiwa kukutwa akiiba kwenye shamba la mahindi hivyo kulazimishwa kula mahindi mabichi.Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Kata ya Miembeni, Bukoba mkoani Kagera na kuibua gumzo kubwa. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, baada ya kumnasa kijana huyo akiiba mahindi aliyoyajaza kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani akidaiwa kuiba Sh mil 19.6/-

MKAZI wa Igoma, Mwanza, Leticia Moses (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 19.6.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kuiba mtoto

Polisi wanamshikilia mkazi wa Mjimwema Makambako kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa kiume mwenye umri ya miezi mitatu katika Hospitali ya Kibena, Njombe.

 

11 years ago

Mwananchi

Nguvuni akidaiwa kuiba mtoto

Jeshi la Polisi mkoani Geita, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuiba na kumtorosha mtoto wa miaka sita kwa lengo la kutaka kumdhuru na kumpeleka kusikojulikana.

 

11 years ago

Habarileo

Ofisa Masoko akidaiwa kuiba 69.8m/-

OFISA Masoko wa Kampuni ya NN General Supplies Simon Lyatuu (47) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 69.8.

 

10 years ago

GPL

ACHOMWA MOTO AKIDAIWA KUIBA BAISKELI MOROGORO

Gari la polisi likiondoka na mwili wa kijana huyo.
Wanafunzi wa Sekondari ya Alfa James wakishuhudia mahali alipochomewa mtuhumiwa.…

 

10 years ago

Vijimambo

Kibaka auawa akidaiwa kupora maiti wa ajali

Watu wanne wamefariki dunia papo hapo akiwamo mama mjamzito na kichanga baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Phantom mjini Kahama mkoani Shinyanga.

Ajali hiyo iliyotokea jana asubuhi, iliambatana na tukio la wananchi kuua mtu mmoja (pichani) wakimtuhumu kuwa kibaka aliyejaribu kuwapora fedha marehemu na majeruhi na ilihusisha basi la Wibonela Express lenye namba za usajili T412 CGN lililokuwa likisafiri kutoka Kahama kwenda jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya mashuhuda wa ajali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Auawa akijaribu kuiba pikipiki

WATU wawili wamefariki dunia katika Mtaa wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, akiwamo kijana anayesadikiwa kuwa katika kikundi cha ‘Panya road’ alipojaribu kupora pikipiki. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

11 years ago

Habarileo

Kijana auawa kwa tuhuma ya kuiba kuku 4

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Evaresti MangalaKIJANA mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa Kijiji cha Isagala, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, ameuawa na watu waliojichukulia sheria mkononi wakimtuhumu kuiba kuku wanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani