Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANASWA AKIIBA MAHINDI, ALAZIMISHWA KULA MABICHI!

Akilazimishwa kula maindi hayo. HAMIDA HASSAN Jamaa ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejikuta akionja joto ya jiwe baada ya kudaiwa kukutwa akiiba kwenye shamba la mahindi hivyo kulazimishwa kula mahindi mabichi.Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Kata ya Miembeni, Bukoba mkoani Kagera na kuibua gumzo kubwa. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, baada ya kumnasa kijana huyo akiiba mahindi aliyoyajaza kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Auawa akidaiwa kuiba mahindi mabichi

Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Sambila Mihayo anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 22 ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiiba mahindi mabichi shambani katika Kitongoji cha Ilolanguli Kijiji cha Mbabani Wilaya ya Geita mkoani hapa.

 

9 years ago

GPL

MREMBO ANASWA AKIIBA SUPERMARKET

Imelda mtema Ni aibu 100%! Mrembo mkali aliyetambuliwa kwa jina moja la Winifrida, amekumbwa na fedheha ya aina yake baada ya kunaswa akiiba pafyumu kwenye supermarket ikidaiwa kuwa tabia hiyo kwa sasa imeshamiri jijini Dar kwa mabinti walio wengi. Mrembo huyo akidhibitiwa. Tukio hilo la aibu ya kupitiliza lililonaswa na gazeti hili lilijiri wikiendi iliyopita ndani Supermarket ya TSN iliyopo maeno ya Bamaga-Mwenge jijini...

 

11 years ago

BBCSwahili

Aliyefunga alazimishwa kula India

Wabunge nchini India wamezozana baada ya mfanyakazi aliyekua kwenye mfungo kushurutishwa kula

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji Chess afumaniwa akiiba mbinu

Mchezaji Chess mtajika amefukuzwa kutoka kwenye mashindano ya kimataifa baada ya kupatikana akitumia simu ilikumshinda mpinzani wake.

 

11 years ago

GPL

ABAMBWA AKIIBA KANISANI, AGEUZWA BUCHA!

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela
KIOJA! Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta akipokea kipigo ‘hevi’ baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha Theofilo Kisanji ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dar. Emmanuel baada ya kupokea kichapo cha nguvu kutoka kwa wanachuo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kanisani hapo, mchana kweupe...

 

9 years ago

BBCSwahili

Habre alazimishwa kwenda mahakamani

Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia nguvu kumuingiza na kumdhibiti kiongozi wa zamani wa Chad Hissene Habre katika mahakama ya Dakar Senegal

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe alazimishwa kupiga kura ya wazi

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea kumwandama kwa kejeli Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, mmoja wa makamishna wa tume hiyo naye ameonja ‘joto ya jiwe’...

 

10 years ago

GPL

KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA

Kibaka baada ya kuchomwa moto. Wananchi wakishuhudia kibaka akichomwa moto. KIJANA mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani