Ofisa Masoko Coca-Cola auawa
OFISA Masoko wa Kampuni ya vinywaji ya Coca-Cola, Steven Mbilo (40), amefariki dunia baada ya kupigwa risasi maeneo ya kifuani. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Iringa,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72592000/jpg/_72592882_72592700.jpg)
VIDEO: Coca Cola v Gay Rights
#BBCTrending investigates a Coca Cola website that prohibits the word 'gay'
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Kambi ya Copa Coca Cola safi
Kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola imeanza leo katika uwanja wa michezo wa Chuo Kikuu cha Pretoria ikishirikisha vijana wadogo kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakijifunza mbinu mbalimbali za soka.
11 years ago
BBCSwahili06 May
Coca-Cola kuondoa kiungo tatanishi
Kampuni kubwa zaidi ya vinywaji duniani Coca-Cola, imeshinikizwa kuondoa kiungo tatanishi katika baadhi ya vinywaji vyake ambacho wengi wanasema sio salama
9 years ago
Michuzi16 Sep
COPA COCA COLA KUFANYIKA MWAKANI
![](http://tff.or.tz/images/U13-Kubwa.png)
Michuano hiyo ambayo hushirikisha timu za mikoa yote Tanzania kuanzia katka ngazi ya Wilaya, hufanyika kila mwaka kwa kuwashirkisha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15).
Taarifa ya Idara ya Masoko ya Coca Cola imesema kampuni hiyo ...
9 years ago
TheCitizen07 Dec
Coca-Cola Pulls Offensive Ad, but the Damage Is Already Done
In an ad distributed by Coca-Cola Mexico, pretty, young white people do their holiday good deed by bringing bottles of soda to a remote village and build a wooden Christmas tree in the town square.
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Nyota Copa Coca-Cola warejea
NYOTA wawili waliochaguliwa kwenda kwenye kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyofanyika nchini Brazil wiki iliyopita, wamerejea nchini juzi usiku. Wachezaji hao, Ali Mabuyu kutoka Ilala na Juma Yusuf wa...
10 years ago
MichuziCOCA-COLA YAZINDUA UPYA MAJI YA DASANI
Kutoka kushoto ni Meneja wa Coca- Cola, Yebeital Getachew, Mkurugenzi Mtendaji wa Coca Cola Kwanza, Basil Gadzios, Meneja Masoko wa Coca-Cola Kwanza, Hettiarachchi na Msimamizi wa Masoko Coca-Cola Kwanza, Josephine Msalilwa wakionyesha muonekano mpya wa chupa ya maji ya Dasani baada wakati wa uzinduzi.
10 years ago
TheCitizen19 Dec
Kigoma and Dom in Copa Coca-Cola semis
>Uncompromising Kigoma boys blasted into the semi-finals of the U-15 Copa Coca-Cola youth football championship after squeezing a 1-0 win over Mwanza in a tough but thrilling match at Karume Memorial Stadium yesterday.
10 years ago
Michuzi05 Nov
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania