MSASANI BONDE LA MPUNGA DAR YATISHA KWA UCHAFU
Biashara inaendelea licha ya kuwepo dimbwi lenye maji taka katika moja ya mitaa ya Msasani. Eneo hili limegeuka dampo kwa wakazi wa Bonde la Mpunga Msasani.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 May
Kamanda wa Vijana Makangira Msasani awatembelea waliokumbwa na mafuriko Bonde la mpunga
Kamanda wa Vijana Tawi la Makangira-Msasani, jijini Dar es Salaam, Yusuph Nassoro (kushoto) akiwa na mkazi wa eneo hilo wakati alipotembelea kwenye mfereji mkubwa uliojengwa kwa ajili ya kupitisha maji machafu kuelekea baharini. mfereji huo umekuwa msaada mkubwa kutokana na maji yake mengi kuelekea baharini tofauti na awali yaliyokuwayakisababisha mafuriko makubwa katika eneo la Bonde la mpunga.
Na Mwandishi Wetu
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na kusababisha...
11 years ago
GPLJAHAZI YATISHA DAR LIVE
10 years ago
GPLWAKAZI WA MSASANI WASAFISHA UFUKWE WA MSASANI
11 years ago
MichuziUP DATES: Mtoto aliepotea,apatikana maeneo ya Msasani jijini dar
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru sana sana kwa msaada wenu wa kurusha habari ile ya kupotea kwake. Lakini zaidi sana nawashukuru jinsi mlivyotenda kwa haraka (act promptly) nilipotuma tu ujumbe.
Hii imeonyesha umuhimu wa mitandao hii na ni kweli ya wananchi na jamii.
Asanteni sana na kila la heri.
9 years ago
Global Publishers17 Dec
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni, Dar zabomolewa
Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni leo wamebomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa bomoabomoa inayoendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi waliokubwa na kadhia hiyo wamepaza sauti zao juu ya kuvunjiwa nyumba zao huku wakilalamika kuwa hawakupewa taarifa yoyote ya kuwataka wahame eneo hilo kutoka uongozi wa serikali ya mtaa huo.
9 years ago
Michuzibomoabomoa ya hiyari yaendelea bonde la msimbazi jijini Dar es salaam
10 years ago
GPLMSHINDI WA MILIONI 10 ZA JAY MILLIONS AKABIDHIWA MPUNGA WAKE DAR LIVE