Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamanda wa Vijana Makangira Msasani awatembelea waliokumbwa na mafuriko Bonde la mpunga

IMG-20150507-WA0108

Kamanda wa Vijana Tawi la Makangira-Msasani, jijini Dar es Salaam, Yusuph Nassoro (kushoto) akiwa na mkazi wa eneo hilo wakati alipotembelea kwenye mfereji mkubwa uliojengwa kwa ajili ya kupitisha maji machafu kuelekea baharini.  mfereji huo umekuwa msaada mkubwa  kutokana na maji yake mengi  kuelekea baharini tofauti na awali yaliyokuwayakisababisha mafuriko makubwa katika eneo la Bonde la mpunga.

Na Mwandishi  Wetu

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na kusababisha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MSASANI BONDE LA MPUNGA DAR YATISHA KWA UCHAFU

Biashara inaendelea licha ya  kuwepo dimbwi lenye maji taka katika moja ya mitaa ya Msasani. Eneo hili limegeuka dampo kwa wakazi wa Bonde la Mpunga Msasani.…

 

10 years ago

Habarileo

NMB yasaidia waliokumbwa na mafuriko

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa jimbo la Msalala, katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAFARIJI WAKAZI WA BUGURUNI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kazi ya kuondoa maji ya mafuriko kutoka katika nyumba za watu katika eneo la Buruguruni Mnyamani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo wakati Rais na Mkewe Mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali walipotembelea eneo hili kujionea athari za mafuriko na kuwafariji wananchi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mmoja wa wakazi wa Buguruni Mnyamani Bi.Halima Hamza ambaye nyumba yake imeathiriwa vibaya na maji ya mafuriko wakati Rais na Mkewe Mama...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 476 KWAAJILI YA KUEZEKA NYUMBA 1,000 ZA WAJANE WALIOKUMBWA NA ADHA YA MAFURIKO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa msaada wa Mabati yenye Thamani ya shilingi Milioni 476 kwaajili ya Kuezeka Nyumba 1,000 za Wajane mkoani humo ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko yanayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha ambapo amewataka Wananchi waliojenga mabondeni kuondoka.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua  na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA MAJI BONDE LA KATI YAWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI KUFUATIA MAFURIKO KWENYE MAZIWA YA KINDAI, MUNANG NA SINGIDANI

 Mhandisi Rasilimali za Maji, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Moses Salumbi (kushoto),  akiweka alama za ukomo wa maji ya mafuriko kwenye Maziwa ya Kindai na Munang mkoani Singida jana.Wengine kutoka kulia ni Mhandisi Ujenzi, Danford Samson, Mhandisi Mazingira, Nyagheri Mramba, Afisa wa Maji, Bodi ya Maji  Bonde la Kati, William Mabula na Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi wa ofisi hiyo, Nelea Bundala. Athari za mafuriko hayo. Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi,  Bodi ya Maji  Bonde la...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA MSASANI WASAFISHA UFUKWE WA MSASANI

Baadhi ya wananchi wakifanya usafi katika fukwe ya Msasani.…

 

10 years ago

Michuzi

MWIGULU AMSIMIKA SALIM ASAS KUWA KAMANDA WA VIJANA RINGA


MFANYABIASHARA maarufu mkoani Iringa Salim Abri Asas akisimikwa kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kipindi cha miaka mingine mitano  na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara Mwigulu Nchemba katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Mwembetogwa, mjini Iringa.
Mwigulu Nchemba akizingumza na umati wa watu katika viwanja vya mwembetogwa mwishoni mwa wiki mjini Iringa
MFANYABIASHARA maarufu mkoani Iringa Salim Abri Asas akizungumza na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamanda wa UVCCM kata ya Kindai akabidhi vifaa vya michezo kwa vijana

VIFAA

Kamanda wa (UVCCM) Kata ya Kindai, Omary Kinyeto (kushoto) akimkabidhi vifaa kwa Manahodha wa timu za soka ya Mperani Fc, Mahembe Fc, Munangi Boys na Kindai Boys  wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa kwa timu nne kwenye ofisi ya CCM ya Kata ya Kindai Manispaa Singida .

omary

Kamanda wa (UVCCM) Kata ya Kindai, Omary Kinyeto akizungumza na vijana ofisi ya CCM Kata ya kindai Manispaa ya Singida.(PICHA ZOTE NA HILLARY SHOO).

JEZI..2

 

viongozi

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

VIJANA nchini wametakiwa kutambua kuwa...

 

11 years ago

GPL

MAFURIKO YAZINGIRA BAA YA BEN KINYAIYA KINONDONI-VIJANA DAR

Maji yakiwa ‘yameweka kambi’ katika Pub (baa) ya Ben Kinyaiya … Yakionekana kuingia katika baadhi ya nyumba  zilizopo jirani na baa hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani