RAIS JAKAYA KIKWETE AWAFARIJI WAKAZI WA BUGURUNI WALIOKUMBWA NA MAFURIKO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kazi ya kuondoa maji ya mafuriko kutoka katika nyumba za watu katika eneo la Buruguruni Mnyamani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo wakati Rais na Mkewe Mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali walipotembelea eneo hili kujionea athari za mafuriko na kuwafariji wananchi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mmoja wa wakazi wa Buguruni Mnyamani Bi.Halima Hamza ambaye nyumba yake imeathiriwa vibaya na maji ya mafuriko wakati Rais na Mkewe Mama...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete akagua waathirika wa Mafuriko Buguruni jijini dar leo
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-SDOhBQJIpcw/VRAJ6G_nfXI/AAAAAAADdeg/pZx_iFBKLEA/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA ENEO LA BUGURUNI KWA MNYAMANI LILILOATHIRIKA NA MAFURIKO
![](http://4.bp.blogspot.com/-SDOhBQJIpcw/VRAJ6G_nfXI/AAAAAAADdeg/pZx_iFBKLEA/s1600/2.jpg)
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza mkandalasi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji machafu wakati alipotembelea eneo la Buguruni kwa Mnyamani leo Machi 23, 2015 kwa ajili ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na mafuriko ya mvua zinazoendele kunyesha jijini Dar es Salaam.
![](http://2.bp.blogspot.com/-apZ2EZ35yRo/VRAJ6bI6xBI/AAAAAAADdec/I-7OGGikT4Y/s1600/3.jpg)
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWAFARIJI WAHANGA WA DHORUBA CHALINZE
Na Freddy Maro Chalinze,Bagamoyo.
Jumamosi 21,February, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana aliwafariji na kuahidi kuzisaidia kaya 40 ambazo nyumba zao ziliharibiwa vibaya na mvua...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OAyEwA4EGLI/VOnU-Nvt_ZI/AAAAAAAHFNQ/dwX9EabKaI0/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
Rais Kikwete awafariji waathirika wa mvua ya dhoruba Chalinze
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana aliwafariji na kuahidi kuzisaidia kaya 40 ambazo nyumba zao ziliharibiwa vibaya na mvua mkubwa iliyoambatana na upepo mkali wiki iliyopita huko Chalinze,wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Katika ziara hiyo Rais Kikwete ambaye alikuwa amefuatana na mkewe mama Salma Kikwete alikagua Shule ya msingi Chalinze, Ofisi ya CCM, na nyumba kadhaa za wanakijiji ambazo ziliharibiwa vibaya na mvua hizo na kujeruhi baadhi ya wanavijiji...
10 years ago
Habarileo13 Mar
NMB yasaidia waliokumbwa na mafuriko
BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa jimbo la Msalala, katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
10 years ago
Dewji Blog13 May
Kamanda wa Vijana Makangira Msasani awatembelea waliokumbwa na mafuriko Bonde la mpunga
Kamanda wa Vijana Tawi la Makangira-Msasani, jijini Dar es Salaam, Yusuph Nassoro (kushoto) akiwa na mkazi wa eneo hilo wakati alipotembelea kwenye mfereji mkubwa uliojengwa kwa ajili ya kupitisha maji machafu kuelekea baharini. mfereji huo umekuwa msaada mkubwa kutokana na maji yake mengi kuelekea baharini tofauti na awali yaliyokuwayakisababisha mafuriko makubwa katika eneo la Bonde la mpunga.
Na Mwandishi Wetu
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na kusababisha...
10 years ago
Mwananchi08 Apr
NYANZA: Waziri Kamani awafariji waathirika wa mafuriko
10 years ago
Dewji Blog05 May
Mvua yasababisha mafuriko Moshi vijijini, Mbunge Lucy Owenya awafariji waathirika
Mbunge wa viti maalumu, Lucy Owenya (Chadema) (kulia) akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini, Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo.