Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utalii Mikindani umo ndani utajiri wa gesi Mikindani

Hadi sasa changamoto kubwa ambayo haijaweza kushughulikiwa ipasavyo ni kuhamisha mapato yanayotokana na utajiri wa madini kwenda kuimarisha sekta nyingine za uchumi, hasa zile ambazo zinaweza kushughulikiwa moja kwa moja na wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA ALIVYOTEKA MIKINDANI NA MAFIALEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni, uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMOWananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika mji mdogo wa Mikindani mkoani MtwaraWananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA, MIKINDANI NA MAFIA JANA.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba17, 2015, katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara.

  Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni kwa ajili ya Jimbo la Mtwara mjini, uliofanyika katika mji mdogo wa Mikindani mkoani Mtwara jana, Septemba 17, 2015.
  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,...

 

10 years ago

Vijimambo

SINA MAJINA YA MAFISADI, INGAWA UOVU HUU UMO NDANI YA VYAMA VYA SIASA

MGOMBEA anayeomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Steven Wasira, amesema hana majina ya washukiwa wa ufisadi, ingawa uovu huo umo ndani ya vyama vya siasa ikiwamo CCM.
Wasira anayeongozwa na kauli mbiu ya Uadilifu na Umoja wa Watanzania; Safari ya Uhakika, alisema hayo wakati akizungumza na wana-CCM waliomdhamini katika mikoa ya Rukwa na Katavi jana.
Alisema CCM na serikali yake ni taasisi zilizo na misingi ya uadilifu, ingawa ndani yake...

 

11 years ago

Habarileo

Majirani kushiriki utajiri wa gesi

UTAFITI zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani. Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa iliyowekwa hivi karibuni katika Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa, imefafanua kwa undani historia ya mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa maisha ya kiuchumi ya Watanzania na uwezekano huo katika siku za hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kuna baadhi ya miamba inayozalisha gesi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu


NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa  ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu  katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...

 

11 years ago

Habarileo

‘Mipango mizuri utajiri wa gesi utaepusha na laana’

WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI YA UTALII YATAKIWA KUTANGAZA UTALII NDANI NA NJE YA NCHI

IMG-20140704-WA0013Waziri wa Maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu akifungua rasmi mkutano wa 30 wa asasi ya wamiliki wa makampuni ya kusafirisha watalii TATO jijini Arusha hivi karibuni. IMG-20140704-WA0009Wadau mbalimbali wa utalii wakisikiliza mada kwa umakiniIMG-20140704-WA0004MAKAMPUNI ya kitalii hapa nchii yametakiwa kuutangaza kwa kiasi kikubwa utalii wa vivutio vyetu hapa nchini  ndani ya nchi pamoja na nje ya nchi ili kuwapa wanachi moyo wa kizalendo katika kujali vivutio walivyo navyo. Hayo yalisemwa juzi jijini Arusha na waziri...

 

11 years ago

Habarileo

‘Mipango madhubuti utajiri wa gesi utaepusha laana zake’

WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau: Utajiri wa lugha ya Kiswahili ni zaidi ya gesi na madini

Kwa hali ilivyo nchini, kuna kila sababu ya kusema kuwa lugha ya Kiswahili imesuswa na wale waliopewa jukumu la kuiendeleza. Kibaya ni kuwa wanaofanya hivyo hawajui thamani ya lugha hiyo kwa maendeleo ya Tanzania kiutamaduni na hata kiuchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani