SERIKALI ZA VIJIJI ZATAKIWA KUHUSISHA MAAFA YA MABADILIKO YA TABIANCHI NA MIPANGO YA MAENDELEO
Mshiriki wa Mafunzo ya utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini akichangia wakati wa mafunzo hayo kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata ya Makiba, wilayani Arumeru mkoani Arusha, mafunzo hayo yameratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi huo , Tarehe 13 Juni, 2015.
Mratibu mradi kitaifa wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini, Alfei Daniel akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi
NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
‘Ukosefu mipango huchangia mabadiliko tabianchi’
MKURUGENZI wa Shirika la Maendeleo la Mazombe Mahenge (MMADEA), Raphael Mtitu, amebainisha kuwa ukosefu wa mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji ni kikwazo katika utekelezaji wa shughuli za...
10 years ago
Michuzi
ARUMERU WAPATA MAFUNZO YA KUKABILI MAAFA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI


10 years ago
StarTV21 Aug
Serikali za vijiji, mitaa, vitongoji zatakiwa kuwajibika
Serikali za vijiji, mitaa na vitongoji nchini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watoto wenye ulemavu katika maeneo yao ili kuhakikisha kuwa wanaandikishwa shuleni badala ya kuacha jukumu hilo kwa wazazi na walezi ambao baadhi yao wanawaficha majumbani kwa imani potofu.
Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya walemavu mkoani Singida wanaotekeleza mradi wa My Rights wilayani Iramba baada ya kuwatambua watoto 15 wenye ulemavu ambao licha ya kuwa na umri wa kwenda shule...
10 years ago
MichuziVIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika waanza leo Victoria Falls-Zimbabwe
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe. Ambapo amezitaka nchi za Afrika kuendelea kushikamana katika kukabiliana na mabadiuliko ya tabianchi pamoja na ukuaji wa uchumi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mabadiliko ya tabianchi kuathiri umeme
MABADILIKO ya tabianchi yametajwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.