UNIC YAFANYA MAFUNZO YENYE TIJA YA UJASIRIMALI PEMBA

Mshehereshaji Bw. Salum Msellem kutoka Istiqama Radio akitambulisha meza kuu kwa washiriki wa mafunzo ya Ujasiriamali ya siku moja kwa Vijana Visiwani Pemba yaliyofanyika mwishoni mwa juma kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari Madungu. Mratibu wa YUNA kisiwani Pemba, Bw. Mohammed Ali, akisoma taarifa ya maendeleo ya vilabu vya Umoja wa Mataifa visiwani humo na changamoto zinazowakabili kwa walezi wa vilabu hivyo.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Habarileo06 Apr
‘Jadilini mambo yenye tija Katiba mpya’
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wameshauriwa kujadili mambo yenye tija kwa taifa, badala ya kubishania yasiyo ya msingi, kwa sababu, fedha wanazozitumia bungeni ni za wananchi watakaohoji kulikoni katiba bora isipopatikana.
11 years ago
GPL
UNIC YAHAMASISHA VIJANA MKOANI DODOMA KUANZISHA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA MASHULENI
10 years ago
Michuzi09 Sep
JKT KUBORESHA MAZINGIRA YA MAFUNZO ILI YAWE NA TIJA ZAIDI KWA WAHITIMU NA TAIFA

Jeshi la kujenga taifa JKT limesema linaendelea na harakati za kuboresha mazingira ya mafunzo kwa vijana wa mujibu wa sheria na wale wa kujitolea ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu na upatikanaji wa vifaa vya mafunzo vinavyojumuisha sare pamoja na viatu ili kuyafanya mafunzo hayo kuwa bora na yenye kuwajenga vijana katika moyo wa uzalendo kwa nchi yao.
Mkuu wa jeshi la kujenga taifa JKT.Meja Jenerali Raphael Muhunga amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya JKT kwa vijana wa mujibu...
11 years ago
GPLASKARI 96 WA TANAPA WAMALIZA MAFUNZO YA AWALI WAAHIDI KUPAMBANA NA MAJANGIRI
11 years ago
Habarileo04 Nov
JK ataka mafunzo yenye ufanisi kukabili rushwa
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa nchini kwa ufanisi.
10 years ago
Vijimambo09 May
BODI YA UTT-PID NA MENEJIMENTI YAKE YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO CHINA

Na Mwandishi MaalumBodi ya Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyo chini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID), pamoja na Menejimenti yake ipo nchini China...
10 years ago
Vijimambo
KITUO CHA SHERIA PEMBA CHATOA MAFUNZO KWA JESHI LA POLISI

