KITUO CHA SHERIA PEMBA CHATOA MAFUNZO KWA JESHI LA POLISI

Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC Tawi la Pemba Bi.Fatma Hemed Khamis akizungumzia kazi na majukumu ya Kituo hicho, kwenye mafunzo kuwatambaulisha wasaidizi wa Sharia kwa Watendaji wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, kulia ni Afisa Mipango wa Kituo Bi.Safia Saleh Sultan na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Mohamed Sheikhan Mahamed, mafunzo yaliofanyika kituoni hapo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba Mohamed Sheikhan Mohamed akizfungua mafunzo ya siku...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA (ZLSC) ZANZIBAR CHATOA MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA SHERIA WA MAJIMBO YA ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo
KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA CHATOA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIKOSI VYA SMZ


10 years ago
VijimamboKITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR ‘ZLSC’ CHATOA MAFUNZO KWA MAAFISA MAHAKAMA YA KADHI
10 years ago
Michuzi.jpg)
KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) CHATOA Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA, HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA YA KAMPENI YA PILI YA GOGOTA
5 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
11 years ago
Michuzi26 Jul
CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA TPBC CHATOA MAFUNZO KWA MAREFARII
11 years ago
MichuziKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Polisi haijakamilisha upelelezi wafanyakazi Kituo cha Sheria
Asifiwe George na Jenipher Thomas(DSJ), Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema linaendelea na upelelezi wa wafanyakazi na viongozi 38 wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC).
Watu hao wanadaiwa kusambaza taarifa za matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani kabla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) haijayatangaza.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleimani Kova, alisema watu hao wanatuhumiwa kukusanya na kusambaza...