Athari za dawa ya Saratani zamtuma kuua
Mwanamume mmoja anayeugua Saratani nchini Uingereza, amefungwa jela maisha baada ya kumuua mkewe na mtoto wake msichana kutokana na athari za madawa anayotumia kwa matibabu ya Chemotherapy.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDUNIA KUJADILI CHANGAMOTO NA ATHARI ZA DAWA ZA KULEVYA
11 years ago
BBCSwahili13 May
Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Athari za dawa zenye zebaki katika tiba ya meno
AGENDA ni miongoni mwa asasi zisizo za serikali (NGOs) zaidi ya 30 katika bara la Afrika zilizosaini Azimio la Abuja kutaka bara hili liwe la kwanza kuacha kutumia dawa zenye...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
NDC kuzalisha dawa za kuua mbu
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Dawa mpya kudhibiti saratani
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Dawa ya HIV yaponya Saratani?
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Dawa inayopunguza makali ya saratani
10 years ago
StarTV15 Jan
Wakulima waomba dawa ya kuua wadudu wanaoshambulia Pamba.
Na Salma Mrisho
Geita
Wakulima wa zao la Pamba mkoani Geita wameiomba Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa dawa ya kuua wadudu shambani kwa wakati kwani mazao yao yameanza kushambuliwa na wadudu na wana hofu ya kuharibikiwa zao hilo la pamba ambalo wamedai kuwa limestawi vizuri kwa msimu huu.
Waliongeza kuwa ni vyema pia ukaangaliwa utaratibu mpya wa ugawaji wa mbegu uende sambamba na ugawaji wa madawa ili kuondoa kero kama zinazowakumba kwa sasa.
Kilimo cha zao la Pamba ambacho...
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Sitta: Katiba nzuri ni dawa ya kuua sheria mbovu