Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Athari za dawa zenye zebaki katika tiba ya meno

AGENDA ni miongoni mwa asasi zisizo za serikali (NGOs) zaidi ya 30 katika bara la Afrika zilizosaini Azimio la Abuja kutaka bara hili liwe la kwanza kuacha kutumia dawa zenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ATHARI ZA MADINI YA ZEBAKI KATIKA MWILI WA BINADAMU

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya  Makamu wa Rais Anjelina Madete(katikati)  akifungua mkutano wa  Mkataba wa  Minamata kuhusu  madini ya zebaki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock  jijini Dares Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira kutoka ofisi hiyo, Joseph Kihaule na  kushotoni Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mafunzo na Utafiti(UNITAR), Carlos Maren. Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Joseph Kihaule (kushoto)akisisitiza jambo wakati akiongoza mkutano wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi

Wanasayansi wanasema kemikali zinazopatikana katika dawa ya kusugua meno na sabuni zinaweza kuharibu mbegu za uzazi za wanaume.

 

11 years ago

Michuzi

POLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

"Haya Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) . "Haya tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
Afisa Habari wa...

 

10 years ago

Michuzi

MSD YAKUBALI AGIZO LA SERIKALI KUWEKA ALAMA KATIKA DAWA NA VIFAA TIBA

NA CHALILA KIBUDA GLOBU YA JAMII,DAR
KAIMU Mkurugenzi  Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD),Cosmas Mwaifwani amesema bohari ya dawa imepokea agizo la serikali kuweka alama katika dawa  za umma pamoja na vifaa tiba ili kuweza kudhibiti upotevu wa dawa pamoja na vifaa tiba.
Mwaifwani aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mikakati  bohari hiyo katika kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Alisema katika mkakati mwingine ni kuanzisha maduka ya jumla...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Onyesheni tiba asili zenye ubora’

WASHIRIKI katika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, wametakiwa kuonyesha bidhaa bora zitakazoleta ushindani katika soko la Tiba...

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA yafuta usajili wa dawa zenye madhara

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imefuta usajili na kuzuia uingizaji na uuzaji wa dawa tano za binadamu baada ya kubainika kuwa na madhara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya Saratani zamtuma kuua

Mwanamume mmoja anayeugua Saratani nchini Uingereza, amefungwa jela maisha baada ya kumuua mkewe na mtoto wake msichana kutokana na athari za madawa anayotumia kwa matibabu ya Chemotherapy.

 

10 years ago

Vijimambo

DUNIA KUJADILI CHANGAMOTO NA ATHARI ZA DAWA ZA KULEVYA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa mkutano wa maandalizi wa mkutano maalum utakaofanyika mwakani kuhusu changamoto na athari zitokanazo na biashara haramu na matumizi ya dawa za kulevya. Tantizo ambalo imezikumba nchi karibu zote duniani ziwe tajiri au maskini.Sehemu ya washiriki wa Mkutano huo kuhusu dawa za kulevya uliofanyika mwishoni mwa wiki hapa Umoja wa Mataifa na kuwakutanisha wadau mbalimbali. katika mkutano...

 

11 years ago

Habarileo

Jamii yaaswa kuhusu dawa ya meno

JAMII imeaswa kukagua dawa ya meno kabla ya kutumia kujiridhisha na ubora na viwango.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani