Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUNIA KUJADILI CHANGAMOTO NA ATHARI ZA DAWA ZA KULEVYA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa mkutano wa maandalizi wa mkutano maalum utakaofanyika mwakani kuhusu changamoto na athari zitokanazo na biashara haramu na matumizi ya dawa za kulevya. Tantizo ambalo imezikumba nchi karibu zote duniani ziwe tajiri au maskini.Sehemu ya washiriki wa Mkutano huo kuhusu dawa za kulevya uliofanyika mwishoni mwa wiki hapa Umoja wa Mataifa na kuwakutanisha wadau mbalimbali. katika mkutano...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DUNIA KUJADILI CHANGAMOTO NA ATHARI YA MADAWA YA KULEVYA

Bw. Sam Kutessa, Rais  wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.Na  Mwandishi Maalum, New York Jumuiya ya Kimataifa  inajiaanda  kwa  mkutano maalum na  wa aina yake kufanyika, ambapo  nchi wanachama watakutana  na  kujadiliana kwa kina kuhusu  changamoto na adhari kubwa  zitokanazo na  biashara haramu na matumizi ya dawa za kulevya.

 Mapema wiki iliyopita,    wajumbe wanaoziwakilisha nchi  zao  hapa  Umoja wa Mataifa, walikuwa na mkutano wa siku moja ambao ulikuwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Viongozi kujadili athari za joto duniani

Mazungumzo kuhusu Mabadiliko ya tabia nchi yanaanza rasmi asubuhi ya leo huko jijini Paris nchini ufaransa, wakuu wa nchi zaidi ya mia na hamsini wanatarajiwa kuhudhuria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau kujadili changamoto za elimu

WADAU wa elimu nchini wameandaa kongamano litakalojadili changamoto katika sekta ya elimu na jinsi gani ya kukabiliana nazo. Kongamano hilo litakalofanyika leo Ubungo Plaza, Dar es Salaam, litajumuisha walimu wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya Saratani zamtuma kuua

Mwanamume mmoja anayeugua Saratani nchini Uingereza, amefungwa jela maisha baada ya kumuua mkewe na mtoto wake msichana kutokana na athari za madawa anayotumia kwa matibabu ya Chemotherapy.

 

10 years ago

Michuzi

semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi yafanyika singida

  Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CCCS),  Prof. Pius Yanda akifungua semina ya kikanda ya athari na changamoto zitokakanazo na mabadiliko ya tabianchi inayoshirikisha wajumbe kutoka maeneo kame inayofanyika mjini Singida.  Mhadhiri na mtafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Emma Liwenga akitoa mada kuhusu maenedelo ya mradi wa mazingira kwenye maeneo kame  unaonedeshwa na kituo cha mabadiliko ya tabianchi cha Chuo Kikuu cha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi

Wanasayansi wanasema kemikali zinazopatikana katika dawa ya kusugua meno na sabuni zinaweza kuharibu mbegu za uzazi za wanaume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani