Mbinu mpya ya kudhibiti mbu waenezao malaria
MALARIA ni ugonjwa wa kuambukiza u n a o l e t w a na chembe chembe zinazojulikana kwa jina la kitaalamu plasmodium.
Chembe chembe hizi huingia ndani ya mwili wa binadamu baada ya kuumwa na mbu jike aina ya Anopheles.
Mbu mwenye chembe chembe za plasmodium anapomuuma mtu, humuingizia baadhi ya mate yenye viini vya
kuambukiza kwenye kidonda, hivyo kusambaza malaria.
Viini hivi husafiri hadi katika maini ambapo hukaa hadi vifikie ukomavu.
Kuna aina 4 za malaria, ambazo ni P. vivax, P....
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Mbinu mpya ya kutibu neti za kuzuia mbu
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Mbu mwenyewe anaweza kuondoa malaria
Mbu mwenyewe anaweza kuja ondoa malaria. Je, ni kweli? Tafiti ndio zinasema, endelea hapa chini
Kila mwaka, watu bilioni 3.2 wako katika hatari ya kuamukizwa malaria kutoka kwa mbu walioambukizwa na vijidudu vinavyosababishwa malaria. Lakini labda si kwa muda mrefu tukajasikia malaria imefutika kabisa.
Sio ajabu tukasikia mtu anasema hii itakuwa ni uongo,ndoto au haitawezekani kabisaaaa. Mwaka jana, 2015 wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha California walifanya utafiti na kufanikiwa kupata...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Viyoyozi vya kuua mbu: mwarobaini wa malaria nchini
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mkutano wa pili wa mwaka wa Kimataifa wa wataalamu wa kudhibiti Mbu wafunguliwa rasmi leo jijini DAR
Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam
wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini
Dar es Salaam.
Afrika. Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa PAMCA ulifanyika jijini Nairobi Kenya 2014. Dk Malecela amesema kuwa mkutano huu unakutanisha wataalam wa...
10 years ago
MichuziMKUTANO WA PILI WA MWAKA WA KIMATAIFA WA WATAALAM WA KUDHIBITI MBU WAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Simiyu watakiwa kudhibiti gonjwa la malaria
10 years ago
Michuzi
10 years ago
MichuziRais Kikwete na Waziri Mkuu wa Ethiopia wazindua kiwanda cha Kudhibiti Malaria Pwani
11 years ago
Mwananchi21 Aug
Simba yaanza na mbinu mpya