Wanjera ya Ommy Dimpoz yaingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya MTV Base
Video ya wimbo wa Ommy Dimpoz, ‘Wanjera’ imeingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya kituo cha runinga cha MTV Base. Chart hiyo ya nyimbo 10 inajulikana kwa jina la ‘Official African Chart’. Wanjera imekamata nafasi ya 09 wiki hii. Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather. Wema Sepetu na Idris Sultan […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 May
‘Nusu Nusu’ ya Joh Makini yaingia kwenye Official African Chart ya MTV Base
9 years ago
Bongo530 Sep
‘Game’ ya Navy Kenzo yakamata namba 1 kwenye ‘Official African Chart ‘ ya MTV Base
10 years ago
GPL13 Mar
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/pl2BpF3Hq0g/default.jpg)
9 years ago
Bongo512 Oct
Vanessa Mdee awashauri wasanii kuwekeza kwenye muziki kama yeye, Diamond na Ommy Dimpoz
9 years ago
Bongo513 Dec
Vanessa Mdee ashika nafasi ya pili kwenye orodha ya MTV Base ya wasanii wa kike walio juu Afrika
![12346294_444980479044924_1318155553_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346294_444980479044924_1318155553_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee amekuwa na mwaka wenye mafanikio makubwa kimataifa.
Ndio muimbaji wa kike aliye busy zaidi na show si ndani tu ya Tanzania, bali Afrika nzima.
MTV Base wametoa orodha ya wasanii watano walio juu Afrika kwa sasa na hitmaker huyo wa Never Ever akishika nafasi ya pili.
Orodha hiyo ni:
1. Yemi Alade (Nigeria)
2. Vanessa Mdee (Tanzania)
3. Seyo Shay (Nigeria)
4. Cynthia Morgan (Nigeria)
5. Bucie (Afrika Kusini)
9 years ago
Bongo525 Aug
Ommy Dimpoz ataja vitu ambavyo muziki wa Uganda ni zaidi ya Tanzania
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Wasanii Afrika Mashariki kutengewa saa moja ya MTV Base
JULIET MORI (TUDARCO)
KITUO cha MTV Base kimezindua kipindi kipya kitakachokuwa kikishughulika na wasanii wa Afrika Mashariki kwa kuwahoji na kujua mazingira wanayokutana nayo katika kazi zao kwa ujumla.
Mtandao wa Ghafla Kenya umeeleza kwamba kipindi hicho cha saa moja kitaangalia zaidi maisha ya msanii kiundani na namna anavyoweza kupata kitakachoangalia maisha ya msanii kwa kumtambulisha kiundani, namna anavyoweza kupata mafanikio na aina ya muziki anayofanya.