Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bushoke: Wasanii wengi wanaoenda Afrika Kusini wanabeba madawa ya kulevya

Kama ulidhani Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wana kazi na maisha mazuri, basi ulikosea kwani kama huna elimu ya kutosha ukaamua kuzamia nchini humo ni lazima utaishia katika mikono isiyo salama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI YATAJWA KUWA NA NJIA NYINGI ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
 Imeelezwa kuwa nchi ya Afrika Kusini katika bara la Afrika ndio inayoongoza kwa kuwa na njia nyingi za usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Heroine .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Habari wa Kituo Cha Habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC),Stella Vuzo alisema kuwa hilo limetokana na ripoti ya Bodi ya Kupambana na Dawa za Kulevya ya Umoja wa Mataifa imeweka mkazo katika kwa nchi mwanachama kuweka mikakati katika...

 

11 years ago

Michuzi

wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo

Umati wa watu wa Afrika Kusini na wengine kutoka nchi mbali mbali,ukiwa nje ya Majengo ya Umoja yaliopo kwenye Mji wa Pritoria nchini humo,tayari kwa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini,Mh. Jacob Zuma inayoendelea kufanyika hivi sasa.

 

9 years ago

Bongo5

Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi

Adam Jumaa

Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.

Adam Jumaa

Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.

“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...

 

11 years ago

GPL

MADHARA YA MADAWA YA KULEVYA-2

Madawa ya kulevya aina ya bangi. WIKI iliyopita tulijadili kwa urefu madhara ya madawa ya kulevya kiafya.
Tulifafanua kwa urefu kuhusu madawa aina ya kokaine na heroine na tukataja madhara yanayowapata watumiaji wa mihadharati hiyo.
Leo tunaendelea kuchambua mimea aina ya bangi na mirungi ambayo hapa nchini inahesabika kuwa ni madawa ya kulevya. Bangi
Bangi ina madhara kiafya na ndiyo maana serikali imeupiga marufuku mmea...

 

10 years ago

GPL

MADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA

Stori:  Shakoor Jongo na  Makongoro Oging’
NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake, Godfrey Nzowa nao wananyanyua miguu yao kumfuatilia, Amani limesheheni. Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi.
Habari za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa awaaga watumishi wa Manispaa ya Ilala wanaoenda kuongeza ujuzi Korea kusini

Photo 1

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk  Agatha Shinyala na Dk Mary Machemba wa Amana Hospitali. Nyuma ya Meya ni Afisa kutoka...

 

10 years ago

GPL

MADAWA YA KULEVYA, CHONJI HALI TETE

HALI tete, siku chache baada ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama Chonji kukamatwa na kutupwa gerezani kwa tuhuma za kukamatwa na dawa kulevya, sasa mali zake zimeanza kuchunguzwa. Mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama Chonji(mwenye suti), akiwa chini ya ulinzi. Vyanzo vyetu makini kutoka jeshi la polisi zinasema kuwa mali...

 

11 years ago

Michuzi

MKE NA MUME WAKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

 Pichani juu na chini ni Gari aina ya Toyota Corolla yenye namba za usajili T.589 AZS likiwa limebeba magunia ya madawa ya kulevya aina ya bhangi mara baada ya kukamatwa eneo la Sanawari jijini Arusha na askari wa kitengo cha kuzuia Madawa ya Kulevya mkoani humo. (Picha na woinde shizza,Arusha) 
Na Woinde Shizza,Arusha.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewakamata  watu watano wakiwa na magunia saba ya madawa ya kulevya aina ya bhangi wakiwemo mke na mume.
 Awali askari wa Kitengo cha Kuzuia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani