MADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA
![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdMv*3iQpf8cw0pGkPm*LoK6WyWGplekB9DBRwgQThCXXRu1riPiQ9sKitsz3lbxyWDmz5Cx2lCb2*9Jco5qtc3b/FRONTAMANI.jpg?width=650)
Stori: Shakoor Jongo na Makongoro Oging’ NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake, Godfrey Nzowa nao wananyanyua miguu yao kumfuatilia, Amani limesheheni. Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi. Habari za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
11 years ago
GPLMADHARA YA MADAWA YA KULEVYA-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycPdxyRBWLz8suuLHbM1a0JP7BcKJvqx2nCd9UGqKRdCmTWrvhS1CJXKAFd83K-7viS4sQqvVcrr0*wsuFt3ThRP/madawa.gif)
MADAWA YA KULEVYA, CHONJI HALI TETE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LugTamuZqThMDXYUBDMejoYfRI-deXbSyq3LXZtpNHXMZkdWZwDQiZ2k0aWY4Pln2gVv1ZEh5yIxoz9otrds*YN/bibi.jpg)
BIBI WA MADAWA YA KULEVYA AISHANGAZA SERIKALI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwlyn6*Mww7gk1wtcxXR3GjiN8I2NocMjE76wKAFt*eklP*zD*PRmFgFXHmMYAsimX-ukLuXDld9TP-AQ6ysNVEZ/MASOGANGE.jpg?width=650)
SKENDO MADAWA YA KULEVYA YAMNYOOSHA MASOGANGE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A1Qs8*3Ts4z0sXm9Gvq9B*FrVpB1tzBnOkYXQ85HQkQXlpYjlhqKCGA42ZJluhPQtDuFFQUCu2qz4Ph7xTi5Jj3LFfhojxf9/padri.jpg)
PADRI: MADAWA YA KULEVYA YAMETUCHAFUA UINGEREZA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TbjoZv-fHvF8pGG5ZVwMg7*v9kHNtKOo18hJRbLQMl6NaMf*JDbcatJtlwROIZZa30n2NDV4qju3bg3BFT33nLJ/madawa.jpg?width=650)
MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA GEREZA LA KEKO
10 years ago
Bongo Movies11 Aug
Nisha Akana Kukamatwa na Madawa ya Kulevya
Msanii wa tasnia ya Bongo movie nchini Salama Jabu alimaarufu kama Nisha ameibuka na kuwatoa hofu watanzania pamoja na mashabiki wake kuwa hajakamatwa na madawa ya kulevya kama ambavyo taarifa zinavyosambaza katika mitandano ya kijamii.
Nisha kwa sasa yupo nchini China amekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram baaada ya kuona akiulizwa sana na kupewa pole na watu wake wa karibu. Nisha amesema huwa si kawaida yake kujibu au kutolea ufafanuzi mambo ambayo huwa ni uzushi lakini...