PADRI: MADAWA YA KULEVYA YAMETUCHAFUA UINGEREZA
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ PAROKO Msaidizi wa Kanisa Katoliki Kipawa, Ilala jijini Dar es Salaam, Joseph Mashaka amesema biashara ya madawa ya kulevya imechafua sura nzuri ya Tanzania iliyokuwa nayo nje ya nchi hususan Uingereza, baada ya vijana wengi kujihusisha nayo kwa kusafirisha na kutumia. Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki Kipawa, Ilala jijini Dar es Salaam, Joseph Mashaka akiongoza ibada. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWASICHANA WAWILI WA UINGEREZA WAFUNGWA PERU KWA MADAWA YA KULEVYA
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
11 years ago
GPLMADHARA YA MADAWA YA KULEVYA-2
10 years ago
GPLMADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA
11 years ago
GPLSKENDO MADAWA YA KULEVYA YAMNYOOSHA MASOGANGE
10 years ago
GPLMADAWA YA KULEVYA, CHONJI HALI TETE
10 years ago
Bongo Movies11 Aug
Nisha Akana Kukamatwa na Madawa ya Kulevya
Msanii wa tasnia ya Bongo movie nchini Salama Jabu alimaarufu kama Nisha ameibuka na kuwatoa hofu watanzania pamoja na mashabiki wake kuwa hajakamatwa na madawa ya kulevya kama ambavyo taarifa zinavyosambaza katika mitandano ya kijamii.
Nisha kwa sasa yupo nchini China amekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram baaada ya kuona akiulizwa sana na kupewa pole na watu wake wa karibu. Nisha amesema huwa si kawaida yake kujibu au kutolea ufafanuzi mambo ambayo huwa ni uzushi lakini...
11 years ago
GPLBIBI WA MADAWA YA KULEVYA AISHANGAZA SERIKALI