Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASICHANA WAWILI WA UINGEREZA WAFUNGWA PERU KWA MADAWA YA KULEVYA

Melissa Reid (kulia) na Michaella McCollum (nyuma) wakifikishwa mahakamani Lima, Peru baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya ‘cocaine’.
McCollum (wa pili kulia) wa Dungannon Ireland ya Kaskazini akiwa chini ya ulinzi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI SITTA USO KWA USO WA WADADA WAWILI WALIOKAMATWA UWANJA WA NDEGE KWA MADAWA YA KULEVYA

 Wasichana waliokamatwa Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza akiwa na mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhani Waziri Sitta, akiondoka Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Waziri Sitta, akizungumza na waandishi wa habari wakati alipowasili Tazara.
Waziri Sitta, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili Tazara.-- Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta jana alifanya ziara Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Shirika la Usafirishaji la Reli (TAZARA) pamoja na Shirika la...

 

10 years ago

GPL

PADRI: MADAWA YA KULEVYA YAMETUCHAFUA UINGEREZA

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
PAROKO Msaidizi wa Kanisa Katoliki Kipawa, Ilala jijini Dar es Salaam, Joseph Mashaka amesema biashara ya madawa ya kulevya imechafua sura nzuri ya Tanzania iliyokuwa nayo nje ya nchi hususan Uingereza, baada ya vijana wengi kujihusisha nayo kwa kusafirisha na kutumia. Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki Kipawa, Ilala jijini Dar es Salaam, Joseph Mashaka akiongoza ibada. ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

9 years ago

GPL

LAMAR ODOM HATIHATI KUPONA KWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

Mchezaji maarufu wa  mpira wa kikapu wa Marekani, Lamar Odom akiingizwa kwenye gari kupelekwa hospitali kwa matibabu. Lamar Odom akiwa na baba yake, Joe Lamar Odom akiwa uwanjani Lamar Odom na aliyekuwa mkewe, Khloe Kardashian.
Lamar Odom na familia yake.…

 

10 years ago

Vijimambo

ALICHOKISEMA RAY C KUHUSU KUKAMATWA KWA CHIDI BENZ NA MADAWA YA KULEVYA

“Pole kaka yangu Chidi Benz,Naumia kuona tatizo uliokuwa nalo bado haujalitaftia jibu unalijua la kutatua tatizo lako,Mimi ni dada yako natumeshafanya kazi Pamoja,Tatizo ulilonalo na Mimi nilishakuwa nalo na niliweza kulitatua sababu nilijitambua na
kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba
unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lukuvi atoa taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge),Mh. William Lukuvi akisoma taarifa ya Hali ya Madawa ya Kulevya nchini kwa Mwaka 2013,wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari (hawapo pichani) Mjini Dodoma leo.
Sehemu ya waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.Kitabu cha Kurasa 56 chenye taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa Mwaka 2013.Baadhi ya picha za vielelezo ndani ya taarifa hiyo.Picha na Deusdedit Moshi,Globu ya Jamii,Kanda ya Kati.

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge Ndungulile aanika siri mpya za matumizi ya madawa ya kulevya kwa watoto wadogo

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa Malaika uliopo Kata ya vijibweni, Jimbo la Kigamboni. Picha na Emmanuel J. Shilatu --------------------------------------- Na Emmanuel J. Shilatu Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndungulile ameanika siri na aina mpya ya wauzaji wa madawa ya kulevya wanayoitumia katika kupanua wigo wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA

Na Englibert Kayombo WAMJW – Dodoma.
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani