NIGERIA; KISIMA CHA MATAJIRI AFRIKA
![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOiDt5q*nQ5PS4JvllAH3hzebwfebbQS39y0rbRftPOp6qup71KRBj-wkiAyz*LBgLDPdknvvOV9Nlj0KWrmJLsP/AlikoDangote.gif?width=650)
Mfanyabiashara Mnigeria, Aliko Dangote. Nyemo chilongani Unapoizungumzia Nigeria mbele za watu, wengine wanajua kwamba unaizungumzia moja ya nchi iliyojaza matapeli wengi wa mitandaoni huku wengine wakijua unaizungumzia nchi iliyokuwa na wasomi wengi barani Afrika, ila kwa wengine, watajua kwamba unaizungumzia nchi yenye matajiri wengi katika bara hili. ‘P Square’. Nchi hii iliyopo Afrika Magharibi ndiyo nchi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMakabidhiano ya Pampu ya Maji Kisima cha Kaburi Kikombe na Utilianaji Saini ya Mradi wa Uchimbaji Kisima Bomani Ukiwa na Thamani ya Shilingi milioni mia tatu
10 years ago
VijimamboMAKABIDHIANO YA PUMPU YA MAJI KISIMA CHA KABURI KIKOMBE NA UTILIANAJI SAINI YA MRADI WA UCHIMBAJI KISIMA BOMANI UKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNU7gf9efZRz7g2WWzrGYwurpLP-pZg9Mf1EkOaClNezzQwWHE0Phaxh8UgyvdhaX4mZJdazxpbQUQ0pnwik0itG/wasanii1.jpg?width=650)
WASANII 7 MATAJIRI AFRIKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqJQ6ZpBHfE5Bkp-CbiZZZo2k5LL8ejpnNGf9LXxyO0qWYppy16bFCbX4Zdj7f8iTnlO-kehxRKLQFOgpxS5H-Il/ooooooooooooo.jpg?width=650)
MARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA
9 years ago
Mwananchi25 Nov
Matajiri 50 wanaoongoza Barani Afrika
11 years ago
Dewji Blog26 Jun
TBL kuwajengea Kisima cha maji cha Sh Mil. 29 wananchi wa Saranga, Dar
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu akimkabidhi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King’ongo, Benetris Mapesi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 29 za msaada wa ujenzi wa kisima cha maji katika mtaa huo uliopo Kata ya Saranga, Kinondoni Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika katika mtaa huo mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Mkandarasi wa kisima hicho, Onesmo Sigala (wa pili kulia) wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources...