Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Kuna tishio la matajiri na masikini kutoelewana


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amesema kuna tishio la kutokea kutoelewana baina ya matajiri na masikini nchini.
Amesema hali hiyo inaweza kusababisha vurugu nchini kama hatua hazitachukuliwa mapema ili kunusuru hali hiyo.
Amesema katika jamii, kuna chuki inayotokana na tofauti kubwa ya kimapato baina ya makundi tofauti, hasa kati ya matajiri wachache na wenye madaraka kwa upande mmoja na masikini walio wengi kwa upande wa pili, ambavyo husababishwa na mfumo mbaya wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji: Tunalala matajiri, tunaamka masikini

 “UPO usemi usemao waweza kulala masikini ukaamkatajiri, lakini sisi wafugaji tulilala matajiri na tukaamka masikini,”. Kauli hiyo inatolewa na wafugaji wa kijiji cha Mapili, Tarafa ya Inyonga, Wilaya ya Mlele...

 

10 years ago

Mwananchi

Matajiri hulala muda mfupi kuliko masikini?

Wewe ni mtu wa kulala sana? Saa moja usiku upo kitandani, unaamka saa nne asubuhi. Inawezekana ukaendelea kulalamika na kuwanyooshea wengine kidole kwamba ni ‘wachawi’ wanaozuia mafanikio yako, huku wao wakivuna mafanikio.

 

10 years ago

Vijimambo

KWA NINI WAGANGA WANAWEZA KUWASAIDIA WATU KUWA MATAJIRI WAKATI WAO NI MASIKINI?

Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika. 
Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tutaangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu hizi wanazotumia waganga bila ya wewe kuwa mchawi na ukafikia mafanikio makubwa.
Kila mmoja wetu anaelewa kwamba kuna watu wanakwenda kwa waganga na wanasaidiwa kupata utajiri. Japokuwa utajiri huu...

 

10 years ago

Habarileo

Sumaye- Wala rushwa wengi matajiri

WAZIRI Mkuu wa zamani Frederick Sumaye, ameendelea kuelezea jinsi anavyoumizwa na suala la rushwa katika jamii, huku akisema wenye uwezo mkubwa kifedha ndio tatizo, hivyo wasifumbiwe macho.

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye alia na ongezeko la masikini

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Fredrick Sumaye, ameonya kukua kwa pengo kati ya matajiri na masikini duniani, kunaashiria hatari katika maendeleo ya binadamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Pamoja na takwimu kuonyesha uchumi wa Tanzania unakua, bado kuna pengo kubwa kati ya maskini na matajiri

Kwa mwaka wa tano mfufulizo, Emmanuel Mhimba amekuwa akiwekeza nguvu nyingi katika kilimo cha mpunga akitarajia mafanikio makubwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Kebwe afurahia Ukawa kutoelewana Serengeti

NA BENJAMIN MASESE

KEBWE-22April2015MGOMBEA  ubunge   Serengeti kwa tiketi ya CCM, Dk. Steven Kebwe   amesema anafurahia kuona Ukawa ukishindwa kuelewana na chama kinachosimamisha mgombea   Serengeti.

Amesema hadi sasa vyama hivyo vipo katika mvutano mkubwa kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Chama cha NCCR Mageuzi na Chama cha Wananchi (CUF), kitendo ambacho kimesababisha kuwapo   makundi.

Akizungumza na MTANZANIA jana kwa   simu kuhusu  siku anayotarajia kuzindua kampeni jimboni humo, Dk....

 

11 years ago

GPL

MADEREVA WATWANGANA KWA KUTOELEWANA BARABARANI

Madereva Juma na John wakichapana makonde hadharani. …Akiokota jiwe kumshushia kipigo John aliyedaiwa kutaka kusababisha ajali. Juma (kulia) akirusha matusi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani