Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye alia na ongezeko la masikini

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Fredrick Sumaye, ameonya kukua kwa pengo kati ya matajiri na masikini duniani, kunaashiria hatari katika maendeleo ya binadamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sumaye: Kuna tishio la matajiri na masikini kutoelewana


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amesema kuna tishio la kutokea kutoelewana baina ya matajiri na masikini nchini.
Amesema hali hiyo inaweza kusababisha vurugu nchini kama hatua hazitachukuliwa mapema ili kunusuru hali hiyo.
Amesema katika jamii, kuna chuki inayotokana na tofauti kubwa ya kimapato baina ya makundi tofauti, hasa kati ya matajiri wachache na wenye madaraka kwa upande mmoja na masikini walio wengi kwa upande wa pili, ambavyo husababishwa na mfumo mbaya wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masikini akifananishwa na uchafu

KILIO na maneno yao ya kuomboleza yalifanana mithiri ya watu walioambizana kuimba wimbo mmoja hata kama hawakujuana. Wa kwanza alikuwa mwanaume, huyu alikuwa akilia kwa uchungu huku akiwauliza askari wale...

 

11 years ago

Michuzi

MASIKINI TWIGA WETU.!

Pichani ni Maofisa wa TANAPA ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Katavi,Wakiwa wamenaswa na Camera ya Globu ya Jamii,ilipokuwa imetoka kwenye kazi maalum Wilayani Mlele mkoani humo na kukumbana na tukio hilo la Maofisa hao wakimtazama Twiga aliyegongwa na gari na kufa papo hapo,katika tukio hilo la huzuni kubwa,gari iliyohusika na ajali hiyo halikujulikana mara moja. Maofisa wa TANAPA waliokuwa doria hifadhini,wakitafakari jambo mara baada ya kumkuta Twiga akiwa amegongwa na kufa papo hapo...

 

11 years ago

Dewji Blog

TASAF kunususru kaya masikini

DSC04088

 

Na Mwandishi wetu

Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.

Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.

Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...

 

11 years ago

Michuzi

MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!

JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.Happiness...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Uwekezaji haujali tajiri, masikini

MWANDISHI WETU, Dar

 

UTT-AMIS ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Fedha iliyoanzishwa miaka 12 iliyopita kwa lengo la kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini ili kuwawezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.

 

Tangu kuanzishwa kwake taasisi hiyo imejidhihiriisha ni taasisi itakayokuwa mkombozi wa watu wa pato la chini na kati.

 

Ofisa Masoko Mkuu Mwandamizi wa UTT-AMIS, Mfaume Kimario anasema tangu kuanzishwa...

 

11 years ago

Habarileo

JK Rais wa mwisho Tanzania masikini

MAPATO yatokanayo na uwekezaji katika miradi ya gesi asilia, baada ya wawekezaji kutoa gharama zao za utafiti na uwekezaji, yataanza kupokewa nchini 2020.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani na ongezeko la wahamiaji

Serikali ya Ujerumani imetangaza hatua kadhaa zitakazotumiwa kuisaidia kukabiliana na ongezeko la wahamiaji

 

11 years ago

GPL

ONGEZEKO LA WANAUME WAGUMBA

Wanaume wengi hapa nchini na nchi nyingi za Afrika bado hawafahamu kwamba tatizo la ugumba si kwa wanawake pekee bali wanaume pia hukumbwa na tatizo hili tena kwa asilimia sawa kabisa na wanawake.Tafiti za kitabibu zinaonesha kuwa matatizo ya ugumba huwakuta wanaume kwa asilimia 50 kama ambavyo 50% inayobaki huwa ni kwa wanawake. Kutofahamu huku kumekuwa mwiba mkali kwa wanawake pale inapotokea wanandoa wameishi zaidi ya mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani