MASIKINI TWIGA WETU.!
![](http://4.bp.blogspot.com/-E1wPPee9yTU/U02jBSitGoI/AAAAAAAFbHA/65A0yBb1BBg/s72-c/IMG_6902.jpg)
Pichani ni Maofisa wa TANAPA ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Katavi,Wakiwa wamenaswa na Camera ya Globu ya Jamii,ilipokuwa imetoka kwenye kazi maalum Wilayani Mlele mkoani humo na kukumbana na tukio hilo la Maofisa hao wakimtazama Twiga aliyegongwa na gari na kufa papo hapo,katika tukio hilo la huzuni kubwa,gari iliyohusika na ajali hiyo halikujulikana mara moja.
Maofisa wa TANAPA waliokuwa doria hifadhini,wakitafakari jambo mara baada ya kumkuta Twiga akiwa amegongwa na kufa papo hapo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Masikini akifananishwa na uchafu
KILIO na maneno yao ya kuomboleza yalifanana mithiri ya watu walioambizana kuimba wimbo mmoja hata kama hawakujuana. Wa kwanza alikuwa mwanaume, huyu alikuwa akilia kwa uchungu huku akiwauliza askari wale...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Uwekezaji haujali tajiri, masikini
MWANDISHI WETU, Dar
UTT-AMIS ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Fedha iliyoanzishwa miaka 12 iliyopita kwa lengo la kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini ili kuwawezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.
Tangu kuanzishwa kwake taasisi hiyo imejidhihiriisha ni taasisi itakayokuwa mkombozi wa watu wa pato la chini na kati.
Ofisa Masoko Mkuu Mwandamizi wa UTT-AMIS, Mfaume Kimario anasema tangu kuanzishwa...
11 years ago
Habarileo13 Apr
Sumaye alia na ongezeko la masikini
ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Fredrick Sumaye, ameonya kukua kwa pengo kati ya matajiri na masikini duniani, kunaashiria hatari katika maendeleo ya binadamu.
11 years ago
Michuzi18 Jul
MASIKINI HAPPINESS MILLEN MAGESE!!!
![](https://3.bp.blogspot.com/-tkovKxT_G2U/U8a6OlIxZ1I/AAAAAAAALJ0/eViPVAMjtBk/s1600/10527555_785900104822601_446683285170656669_n.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-2QhvdTB3zqE/U8a6OkVbppI/AAAAAAAALJw/fLP9qbkmlj4/s1600/25a05eef7763a2bf_11.preview.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
TASAF kunususru kaya masikini
Na Mwandishi wetu
Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Manyoni, Mkoani Singida, umeanndikisha kaya 8,113 kati ya kaya 8,404 zilizotambuliwa na mpango huo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Julai,mwaka huu.
Kaimu Mratibu wa TASAF Wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Herilabert Sagali alisema mpango huo ulianzishwa kwa malengo mawili ambayo ni pamoja na kutambua kaya maskini na kuandikisha kaya maskini.
Kwa mujibu wa mratibu huyo malengo ni kujenga uwezo pamoja na kuwezesha kaya...
11 years ago
Habarileo06 Aug
JK Rais wa mwisho Tanzania masikini
MAPATO yatokanayo na uwekezaji katika miradi ya gesi asilia, baada ya wawekezaji kutoa gharama zao za utafiti na uwekezaji, yataanza kupokewa nchini 2020.
11 years ago
Habarileo02 Aug
Kaya 2,944 masikini sana kunufaika
MPANGO wa kunusuru kaya masikini sana kupitia Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF lll) katika Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, unatarajia kunufaisha kaya 2,944.
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Wafugaji: Tunalala matajiri, tunaamka masikini
“UPO usemi usemao waweza kulala masikini ukaamkatajiri, lakini sisi wafugaji tulilala matajiri na tukaamka masikini,”. Kauli hiyo inatolewa na wafugaji wa kijiji cha Mapili, Tarafa ya Inyonga, Wilaya ya Mlele...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Pengo la masikini, tajiri kuchafua nchi
MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Alfred Msovela, amesema kuna uwezekano wa taifa kuingia katika machafuko kutokana na kuwepo kwa matabaka ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. Alisema kutokana na wachache...