Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uwekezaji haujali tajiri, masikini

MWANDISHI WETU, Dar

 

UTT-AMIS ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Fedha iliyoanzishwa miaka 12 iliyopita kwa lengo la kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini ili kuwawezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.

 

Tangu kuanzishwa kwake taasisi hiyo imejidhihiriisha ni taasisi itakayokuwa mkombozi wa watu wa pato la chini na kati.

 

Ofisa Masoko Mkuu Mwandamizi wa UTT-AMIS, Mfaume Kimario anasema tangu kuanzishwa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Pengo la masikini, tajiri kuchafua nchi

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Alfred Msovela, amesema kuna uwezekano wa taifa kuingia katika machafuko kutokana na kuwepo kwa matabaka ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. Alisema kutokana na wachache...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama: Tajiri na Mali Yake, Masikini na Wanawe

Mwigizaji wafilamu anaesifika kwa uwezo wake mkubwa wakuvaa uhusika anapokuwa anaigiza, Riyama Ally amelezea furaha yake ya kuwa mama na kuwatakia baraka wanawake na wakina mama wote.

“Raha ya dunia ni watoto tajiri na  maliyake  maskini na  wanawe tupende watoto wote kwani watoto ni zawadi toka kwa MUNGU pia watoto ni faraja kubwa sana.... Asante sana MUNGU kwa zawadi ya Fatma Nakupenda sanaaaaaaaaaa Fatma kwani umenipa faraja ya kuitwa mama nawaombea wanawake wote waliokua bado hawaja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Heri masikini jasiri kuliko tajiri mwoga

USWAHIBA walionao watendaji wa serikali na wafanyabiashara wakubwa (matajiri) hapa nchini kinaweza kuwa kigezo kikubwa cha kudumaza maendeleo ya nchi na kukosa uwiano wa mapato kati ya walionacho na wale wasiokuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Masaburi apinga serikali kuwa tajiri, wananchi masikini

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Dk Didas Masaburi MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Dk Didas Masaburi amesema jumuiya hiyo itapigana kufa au kupona kuona Tanzania inabadili mfumo wa sasa wa uendeshaji wa serikali unaolenga kuifanya serikali kuwa tajiri kuliko wananchi, hatua ambayo imekuwa inawafanya wananchi kukimbilia siasa na kufanya kazi serikalini kama njia ya kuwa na maisha bora.

 

9 years ago

Michuzi

HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE

Ni jambo lilo wazi kuwa watu wote hawawezi kuwa sawa, hivyo watu wote hawawezi  kuwa matajiri. Hivyo kulipo na matajiri  wakubwa na  maskini nao ni wengi. Kwa sababu tajiri na maskini wanategemeana.  Utajiri hauwezi kuwepo bila kuwepo umaskini.Kwa mantiki hiyo ili tajiri awepo maskini lazima awepo na   maskini akiwepo  na tajiri atakuwepo, wote wanategemeana. Kanuni hii ni kwa watu na hata nchi.Ni kweli matajiri wanachukia umaskini  na maskini wenyewe wanatamani utajiri. Hivyo si rahisi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MENEJA WA UWEKEZAJI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA WALLONIA YA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Uwekezaji wa Taasisi ya Uwekezaji ya Wallonia ya Ubelgiji Bi. Dominique Badot baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya Ziara ya Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji inayopangwa kufanyika Tanzania mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA KUHAMASISHA UWEKEZAJI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji amewapongeza Wakuu wa Mikoa wa Kanda ya Ziwa katika juhudi zao za kuhakikisha Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa linafanyika.
Mikoa ambayo itashiriki katika Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Ziwa ni Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga Kongamano ambalo kwa pamoja litawakutanisha Wawekezaji pamoja na Serikali katika kujadili vivutio vya Uwekezaji vinavyopatikana katika mikoa hiyo ya kanda ya Ziwa.
Kituo cha Uwekezaji Kimejizatiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masikini akifananishwa na uchafu

KILIO na maneno yao ya kuomboleza yalifanana mithiri ya watu walioambizana kuimba wimbo mmoja hata kama hawakujuana. Wa kwanza alikuwa mwanaume, huyu alikuwa akilia kwa uchungu huku akiwauliza askari wale...

 

11 years ago

Michuzi

MASIKINI TWIGA WETU.!

Pichani ni Maofisa wa TANAPA ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Katavi,Wakiwa wamenaswa na Camera ya Globu ya Jamii,ilipokuwa imetoka kwenye kazi maalum Wilayani Mlele mkoani humo na kukumbana na tukio hilo la Maofisa hao wakimtazama Twiga aliyegongwa na gari na kufa papo hapo,katika tukio hilo la huzuni kubwa,gari iliyohusika na ajali hiyo halikujulikana mara moja. Maofisa wa TANAPA waliokuwa doria hifadhini,wakitafakari jambo mara baada ya kumkuta Twiga akiwa amegongwa na kufa papo hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani