Riyama: Tajiri na Mali Yake, Masikini na Wanawe
Mwigizaji wafilamu anaesifika kwa uwezo wake mkubwa wakuvaa uhusika anapokuwa anaigiza, Riyama Ally amelezea furaha yake ya kuwa mama na kuwatakia baraka wanawake na wakina mama wote.
“Raha ya dunia ni watoto tajiri na maliyake maskini na wanawe tupende watoto wote kwani watoto ni zawadi toka kwa MUNGU pia watoto ni faraja kubwa sana.... Asante sana MUNGU kwa zawadi ya Fatma Nakupenda sanaaaaaaaaaa Fatma kwani umenipa faraja ya kuitwa mama nawaombea wanawake wote waliokua bado hawaja...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Uwekezaji haujali tajiri, masikini
MWANDISHI WETU, Dar
UTT-AMIS ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Fedha iliyoanzishwa miaka 12 iliyopita kwa lengo la kuanzisha na kuendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini ili kuwawezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.
Tangu kuanzishwa kwake taasisi hiyo imejidhihiriisha ni taasisi itakayokuwa mkombozi wa watu wa pato la chini na kati.
Ofisa Masoko Mkuu Mwandamizi wa UTT-AMIS, Mfaume Kimario anasema tangu kuanzishwa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Pengo la masikini, tajiri kuchafua nchi
MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Alfred Msovela, amesema kuna uwezekano wa taifa kuingia katika machafuko kutokana na kuwepo kwa matabaka ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. Alisema kutokana na wachache...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Heri masikini jasiri kuliko tajiri mwoga
USWAHIBA walionao watendaji wa serikali na wafanyabiashara wakubwa (matajiri) hapa nchini kinaweza kuwa kigezo kikubwa cha kudumaza maendeleo ya nchi na kukosa uwiano wa mapato kati ya walionacho na wale wasiokuwa...
10 years ago
Habarileo20 Feb
Masaburi apinga serikali kuwa tajiri, wananchi masikini
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Dk Didas Masaburi amesema jumuiya hiyo itapigana kufa au kupona kuona Tanzania inabadili mfumo wa sasa wa uendeshaji wa serikali unaolenga kuifanya serikali kuwa tajiri kuliko wananchi, hatua ambayo imekuwa inawafanya wananchi kukimbilia siasa na kufanya kazi serikalini kama njia ya kuwa na maisha bora.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aMLkUWs6eSM1SLtTmPqjcIoGa5bgf6gTc4bQahcM-pwik8IthUGIq-B5QTn0wuCACgG1kgbAf7oinCJARfaAqhTq5J3Bwm3I/Tajiriii.jpg?width=650)
TAJIRI AFA, MALI ZAZUA BALAA!
10 years ago
Bongo Movies23 Jul
Picha: Riyama Akiwa Mzigoni ‘Akishuti’ Kazi Yake Mpya
Hizi ni baadhi ya picha za mkali wa bongo movies, Riyama Ally alizo-share nasi kupitia ukurasa wake mtandaoni zikimuonyesha akiwa anashoot filamu yake mpya.
“Naipenda sana kazi yangu Mungu ibariki...”Riyama aliandika kwenye picha hiyo hapo juu.
Hongera kwa kazi
9 years ago
Michuzi03 Sep
HAJA YA HOJA: NI LINI TAJIRI AKAPENDA MASKINI AKAWA TAJIRI KAMA YEYE
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Msichana wa ndani aua tajiri yake, amchoma kisu kwenye Titi, afa papo hapo
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP), Geofrey Kamwela.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
SAKATA la wafanyakazi wa ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee safari hii mabosi wamegeukwa na kuuwawa na wafanyakazi hao.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyakazi mmoja wa ndani Mkoani Singida, kumwua tajiri yake kwa kumchoma kwa kisu sehemu ya juu ya titi la kulia kwa madai ya kunyanyashwa na tajiri yake.
Kamanda wa polisi Mkoani Singida (SACP) Geofrey Kamwela alisema...
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Mke wa zamani wa Mandela adai mali yake