Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ONGEZEKO LA WANAUME WAGUMBA

Wanaume wengi hapa nchini na nchi nyingi za Afrika bado hawafahamu kwamba tatizo la ugumba si kwa wanawake pekee bali wanaume pia hukumbwa na tatizo hili tena kwa asilimia sawa kabisa na wanawake.Tafiti za kitabibu zinaonesha kuwa matatizo ya ugumba huwakuta wanaume kwa asilimia 50 kama ambavyo 50% inayobaki huwa ni kwa wanawake. Kutofahamu huku kumekuwa mwiba mkali kwa wanawake pale inapotokea wanandoa wameishi zaidi ya mwaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waziri- Kuna wanaume 'wagumba'

TANZANIA inakabiliwa na uwepo wa wanaume wenye mbegu zisizo na uwezo wa kutunga mimba. Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid alisema hayo bungeni jana, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Kidawa Salehe (CCM).

 

10 years ago

GPL

DAKTARI AANIKA CHANZO CHA MASTAA KUWA WAGUMBA

GLADNESS MALLYA DOKTA Chale ambaye anaandika makala za afya katika gazeti ndugu la hili la Ijumaa,  ameanika chanzo cha mastaa wengi kupata ugumba ambapo pamoja na vyanzo vingine, ameyataja madawa ya kuongeza maumbile ya mwili na ya kujichubua yanasababisha tatizo hilo. Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Akizungumzia madawa hayo pasipo kuyataja majina (yamezagaa mitaani), dokta Chale alisema baadhi ya madawa hayo yana...

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani na ongezeko la wahamiaji

Serikali ya Ujerumani imetangaza hatua kadhaa zitakazotumiwa kuisaidia kukabiliana na ongezeko la wahamiaji

 

11 years ago

Mwananchi

Ongezeko la JK la mishahara lafurahisha wengi

>Siku moja baada ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kutangaza nia ya Serikali yake kuongeza mishahara na kupunguzwa kodi kwa watumishi wa umma, wafanyakazi wa taasisi mbalimbali wameonyesha kufurahishwa na hatua hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ongezeko la ajali nchini Tanzania

Haba na Haba inaangalia haki za madereva wa magari ya abiria na pia tatizo la kuongezeka kwa ajali za magari nchini Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Ongezeko la ndege lazaa faida

Kampuni ya Swissport Tanzania Plc imepata ongezeko la faida kwa asilimia 73 baada ya makato ya kodi na gharama nyingine zote, mafanikio yaliyotokana na maendeleo makubwa katika Sekta ya Usafiri wa Anga nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ongezeko la wateja changamoto TUWASA

ONGEZEKO la bei ya matumizi ya maji ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Tukuyu (TUWASA) wilayani Rungwe, Mbeya lilisababisha mgogoro kati ya wateja na mamlaka. Kutokana na mgogoro huo, mamlaka...

 

11 years ago

Mwananchi

ATCL yajivunia ongezeko la abiria

Shirika la Ndege la Tanzania limedai kuweka rekodi ya ongezeko la abiria kwa asilimia 57 ndani ya wiki kadhaa baada ya kupokea ndege ya kukodi aina ya CRJ-200 yenye uwezo wa kubeba abiria 50 pamoja kuiongezea uwezo wa kuruka kwa wakati kwa asilimia 98.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani