Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake vaeni nguo sasa, kama kuvua mumeshavua imetosha!

Mroki-Mporojost

MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita pita katika kurasa za marafiki zangu huko katika uso wa kitabu ‘Facebook nikakutana na nasaha ya ndugu yangu Victory Richard, juu ya kuwasihi wanawake kwamba sasa wavae nguo.

Ndugu yangu yule amechoshwa na tabia za dada zetu, wake zetu na hata mama zetu wakati mwingine wanavyotembea uchi,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAHABUSU KUVUA NGUO KORTINI, USHIRIKINA WATAJWA

stori: MWANDISHI WETU, GEITA USHIRIKINA umetajwa kwa mahabusu wa Gereza la Wilaya ya Geita waliovua nguo mbele ya Mahakama ya Mwanzo ya Nyankumbu mkoani hapa wakimshinikiza Mkuu wa Mkoa wa Geita (Said Magalula), Jaji Mkuu (Mohammed Chande Othman) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Stephen Werema) kusikiliza madai yao ya msingi. Mahabusu wakivua nguo mbele ya Mahakama. Tukio hilo lilijiri Juni 26, mwaka huu saa 3:00 asubuhi ikiwa...

 

11 years ago

GPL

WAFUNGWA WALIVYOZUA TIMBWILI NA KUVUA NGUO ARUSHA

Mmoja wa mahabusu wa Gereza Kuu la Arusha aliyeamua kuvua nguo na kubaki kama alivyozaliwa baada ya kufikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha jana. Mahabusu huyo na wenzake wanapinga  upendeleo unaotolewa kwa washitakiwa wa dawa za kulevya wenye asili ya Kiasia. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO KAMA ILI TUTUMIE KUPITIA NAMBA… ...

 

10 years ago

Vijimambo

GENOVEVA ANONMA ALILAZIMISHWA KUVUA NGUO NA KUKAGULIWA JINSIA YAKE


Viongozi wa timu za Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walidhani Genoveva Anonma ni mwanaume. Jitiririshe  chini akiwa uwanjani kwenye soma zaidi Genoveva Anonma alilazimishwa kuvua nguo na kukaguliwa jinsia yake .
Kashfa hii ilianzishw akwenye muichuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa kina mama ambapo viongozi wa Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walizusha hoja kuwa wachezjai watatu wa Equatorial Guinea ni wanaume na si wanawake . Credit:MillardAyo.com

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuvua nguo zote unapoingia nyumbani na kusafisha vyakula ulivyonunua kunasaidia kukabiliana na virusi hivi?

Wakati huu virusi vya corona ni njia gani sahihi ya kuosha matunda, mbaogamboga na hata nguo?

 

9 years ago

Habarileo

Yanga: Imetosha sasa

KATIBU Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha amesema wanataka kuvunja rekodi ya Simba kwa kushinda mchezo ujao wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI SIMBA: Wambura: Sasa imetosha basi

>Siku moja baada ya kuenguliwa kwa mara ya sita kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Simba, Michael Wambura, amesema: “Imetosha, yatosha, sina cha kusema.”

 

10 years ago

Dewji Blog

TAHARIRI YA MO DEWJI BLOG: Watanzania tuwe na huruma! Imetosha sasa

andrew chale  wa MO DEWJI BLOG akiwa na baadhi ya watoto wenye albinisim

Mwandishi Andrew Chale wa MO DEWJI BLOG akiwa na baadhi ya watoto wenye albinism.

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Miongoni mwa taarifa ambazo mtandao huu wa habari  wa Mo dewji blog, ilizozipata usiku wa jana  Machi 8, ambapo taarifa hiyo iliyosomeka katika kiunganishi cha link hii: http://dewjiblog.com/2015/03/08/breaking-news-ukatili-tena-mtoto-mwingine-mwenye-albinism-mama-mtu-ajeruhiwa-vibaya/

Habari hii Inasikitisha na ni kitendo cha aibu katika Taifa kama Tanzania ambalo huko nje...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wanaovaa nguo nyekundu huvutia

Wanawake wanaovalia mavazi ya rangi nyekundu huwavutia sana wanaume ikilinganishwa na wale wanaovaa mavazi ya rangi nyengine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa wanaowavua wanawake nguo Kenya

Polisi nchini Kenya wametangaza kuanzisha kikosi maalum ya kuwasaka wanaume watakaohusika na vitendo vya kuwavua wanawake nguo hadharani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani