Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHABUSU KUVUA NGUO KORTINI, USHIRIKINA WATAJWA

stori: MWANDISHI WETU, GEITA USHIRIKINA umetajwa kwa mahabusu wa Gereza la Wilaya ya Geita waliovua nguo mbele ya Mahakama ya Mwanzo ya Nyankumbu mkoani hapa wakimshinikiza Mkuu wa Mkoa wa Geita (Said Magalula), Jaji Mkuu (Mohammed Chande Othman) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Stephen Werema) kusikiliza madai yao ya msingi. Mahabusu wakivua nguo mbele ya Mahakama. Tukio hilo lilijiri Juni 26, mwaka huu saa 3:00 asubuhi ikiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAFUNGWA WALIVYOZUA TIMBWILI NA KUVUA NGUO ARUSHA

Mmoja wa mahabusu wa Gereza Kuu la Arusha aliyeamua kuvua nguo na kubaki kama alivyozaliwa baada ya kufikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha jana. Mahabusu huyo na wenzake wanapinga  upendeleo unaotolewa kwa washitakiwa wa dawa za kulevya wenye asili ya Kiasia. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO KAMA ILI TUTUMIE KUPITIA NAMBA… ...

 

9 years ago

GPL

MTOTO AIBWA NA PUNDA, USHIRIKINA WATAJWA

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Tukio ambalo si la kawaida limetokea Kahama mkoani Shinyanga ambapo mtoto wa miezi mitano aliibwa na punda na kuzua tafrani kubwa.Purukushani hiyo ilitokana na punda huyo kumng’ata na kuanza kukimbia naye mtoto katika Soko la Lumambo wilayani Kahama. Majeraha aliyoyapata mtoto huyo baada ya kujeruhiwa na Punda. Akizungumza na mwandishi wetu katika wodi ya watoto Hospitali ya Wilaya ya Kahama,...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MILIONEA MOSHI, USHIRIKINA WATAJWA

Na mwandishi wetu, Moshi
MWEZI mmoja baada ya mfanyabiashara wa Arusha, Timoth Mroki (36) kujiua kwa kujipiga risasi, mfanyabiashara milionea mwingine maarufu wa Moshi, Augustino Mallya (40), naye Jumatatu iliyopita alijiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake eneo la Karanga, mjini Moshi huku ushirikina ukitajwa. Mfanyabiashara milionea maarufu wa Moshi, Augustino Mallya (40) aliyejiua kwa risasi. Baadhi ya watu waliokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

GENOVEVA ANONMA ALILAZIMISHWA KUVUA NGUO NA KUKAGULIWA JINSIA YAKE


Viongozi wa timu za Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walidhani Genoveva Anonma ni mwanaume. Jitiririshe  chini akiwa uwanjani kwenye soma zaidi Genoveva Anonma alilazimishwa kuvua nguo na kukaguliwa jinsia yake .
Kashfa hii ilianzishw akwenye muichuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa kina mama ambapo viongozi wa Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walizusha hoja kuwa wachezjai watatu wa Equatorial Guinea ni wanaume na si wanawake . Credit:MillardAyo.com

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake vaeni nguo sasa, kama kuvua mumeshavua imetosha!

Mroki-Mporojost

MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita pita katika kurasa za marafiki zangu huko katika uso wa kitabu ‘Facebook nikakutana na nasaha ya ndugu yangu Victory Richard, juu ya kuwasihi wanawake kwamba sasa wavae nguo.

Ndugu yangu yule amechoshwa na tabia za dada zetu, wake zetu na hata mama zetu wakati mwingine wanavyotembea uchi,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mahabusu wavua nguo kupinga ubaguzi

Mahabusu mkoani Arusha, Tanzania walivua nguo wakipinga watuhumiwa wawili wa dawa za kulevya kuachiwa huru

 

11 years ago

Mwananchi

Mahabusu wavua nguo kupinga wenzao kuachiwa

Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na kugoma kushuka kwenye basi wakipinga kitendo cha watuhumiwa wawili wa dawa za kulevya kuachiwa kinyemela.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuvua nguo zote unapoingia nyumbani na kusafisha vyakula ulivyonunua kunasaidia kukabiliana na virusi hivi?

Wakati huu virusi vya corona ni njia gani sahihi ya kuosha matunda, mbaogamboga na hata nguo?

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani