Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO CHA MILIONEA MOSHI, USHIRIKINA WATAJWA

Na mwandishi wetu, Moshi
MWEZI mmoja baada ya mfanyabiashara wa Arusha, Timoth Mroki (36) kujiua kwa kujipiga risasi, mfanyabiashara milionea mwingine maarufu wa Moshi, Augustino Mallya (40), naye Jumatatu iliyopita alijiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake eneo la Karanga, mjini Moshi huku ushirikina ukitajwa. Mfanyabiashara milionea maarufu wa Moshi, Augustino Mallya (40) aliyejiua kwa risasi. Baadhi ya watu waliokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MTOTO AIBWA NA PUNDA, USHIRIKINA WATAJWA

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Tukio ambalo si la kawaida limetokea Kahama mkoani Shinyanga ambapo mtoto wa miezi mitano aliibwa na punda na kuzua tafrani kubwa.Purukushani hiyo ilitokana na punda huyo kumng’ata na kuanza kukimbia naye mtoto katika Soko la Lumambo wilayani Kahama. Majeraha aliyoyapata mtoto huyo baada ya kujeruhiwa na Punda. Akizungumza na mwandishi wetu katika wodi ya watoto Hospitali ya Wilaya ya Kahama,...

 

11 years ago

GPL

MAHABUSU KUVUA NGUO KORTINI, USHIRIKINA WATAJWA

stori: MWANDISHI WETU, GEITA USHIRIKINA umetajwa kwa mahabusu wa Gereza la Wilaya ya Geita waliovua nguo mbele ya Mahakama ya Mwanzo ya Nyankumbu mkoani hapa wakimshinikiza Mkuu wa Mkoa wa Geita (Said Magalula), Jaji Mkuu (Mohammed Chande Othman) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Stephen Werema) kusikiliza madai yao ya msingi. Mahabusu wakivua nguo mbele ya Mahakama. Tukio hilo lilijiri Juni 26, mwaka huu saa 3:00 asubuhi ikiwa...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI KWA UMMA YA KIFO CHA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MHE. MOSHI CHANG'A, KUZIKWA JUMATANO MKOANI IRINGA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA


MKOA WA RUKWA

Anuani ya simu:”REGCOM”                          Simu Na:(025)-2802138/2802144 Fax Na. (025) 2802217

Baruapepe: rasrukwa@yahoo.com

             OFISI YA MKUU WA MKOA,

     S.L.P. 128,

     SUMBAWANGA.




Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella M. Manyanya (Mb) kwa masikitiko makubwa anapenda kuwajulisha juu msiba mkubwa ulioukumba Mkoa wetu wa Rukwa wa kuondokewa na Mkuu wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

9 years ago

Mwananchi

Picha ya Lowassa yasababisha kifo Moshi

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Manushi Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijini ameuawa saa chache baada ya ugomvi unaohusishwa na kuchanwa kwa picha ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

9 years ago

Habarileo

Umbumbumbu watajwa chanzo cha ajali

KUKOSEKANA kwa uelewa juu ya hatari na madhara yanayoweza kusababishwa na kemikali kumetajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha ajali mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

EXCLUSIVE INTERVIEW: 'USHIRIKINA CHANZO CHA MAUAJI YA WATU WENYE ALBINISM' - DK. ALLY POSSI

Na Andrew Chale wa modewji blogDk. Ally Possi ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi, Dar es Salaam. Akielezea na kuchambua kwa kina kuhusiana na wimbi la mateso na mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi wenye albinism.Mo dewjiblog, iliamua kufanya mahojiano maalum ilikukuletea wewe msomaji wetu unayeperuzi mtandao wako bora kabisa kujua na kuelewa na nini kifanyike ikiwemo mimi na wewe katika kuchukua hatua.Suala la mauaji dhidi ya watu wenye albinism:“JAMII yenye ushirikina ndio...

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE INTERVIEW: ‘Ushirikina chanzo cha mauaji ya watu wenye Albinism’ — Dk. Ally Possi

Na Andrew Chale wa modewji blog

Dk. Ally Possi ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha  Ardhi, Dar es Salaam. Akielezea na kuchambua kwa kina kuhusiana na wimbi la mateso na mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi wenye albinism.

Mo dewjiblog, iliamua kufanya mahojiano maalum ilikukuletea wewe msomaji wetu unayeperuzi mtandao wako bora kabisa kujua na kuelewa na nini kifanyike ikiwemo mimi na wewe katika kuchukua hatua.

Suala la mauaji dhidi ya watu wenye albinism:

“JAMII  yenye ushirikina...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2015 WATAJWA

Naibu Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kazini. NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Kassim Majaliwa leo ametoa taarifa ya serikali kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2015. Akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa osifi za  TAMISEMI, jijini Dar, Majaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani