Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha ya Lowassa yasababisha kifo Moshi

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Manushi Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijini ameuawa saa chache baada ya ugomvi unaohusishwa na kuchanwa kwa picha ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MVUA YASABABISHA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI,MBUNGE LUCY OWENYA AWAFARJI WAATHIRIKA.


Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji. 

Mbunge wa viti maalumu ,Lucy Owenya (Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini ,Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo. 

Mbunge Lucy Owenya akitembelea maeneo yaliyo athirika na mafuriko hayo. 

Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mvua yasababisha mafuriko Moshi vijijini, Mbunge Lucy Owenya awafariji waathirika

E86A6621

Mbunge wa viti maalumu, Lucy Owenya (Chadema) (kulia) akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini, Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo.

Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji.

 

Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi wa kiwanda cha TPC ili kuruhusu maji kupita. Mbunge Lucy Owenya...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MILIONEA MOSHI, USHIRIKINA WATAJWA

Na mwandishi wetu, Moshi
MWEZI mmoja baada ya mfanyabiashara wa Arusha, Timoth Mroki (36) kujiua kwa kujipiga risasi, mfanyabiashara milionea mwingine maarufu wa Moshi, Augustino Mallya (40), naye Jumatatu iliyopita alijiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake eneo la Karanga, mjini Moshi huku ushirikina ukitajwa. Mfanyabiashara milionea maarufu wa Moshi, Augustino Mallya (40) aliyejiua kwa risasi. Baadhi ya watu waliokuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa anusurika kifo

ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.

 

10 years ago

Michuzi

WAPIGA PICHA ZA PASSPORT MJINI MOSHI WATWANGANA MAKONDE

Wapiga picha katika eneo la Kilima cha Mawenzi wakioneshana uwezo wa kupigana masumbwi hata hivyo chanzo cha ugomvi huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Video na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Moshi ilikuwa ni shida

Wakazi wa Moshi usiku wa August 30 walipata burudani za shangwe ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Majengo kutoka kwa wasanii mbalimbali. Tazama picha za show hiyo. Mamong’oo ndio walifunga show Mapacha Maua Sama Nay wa Mitego na Stamina Nickson George wa Clouds TV Producer Lamar akiwarusha mashabiki wa Moshi kwa ngoma za […]

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi Moshi: Ilikuwa ni lazima kuzuia msafara wa Lowassa

RPCNa Upendo Mosha, Mosha

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limetoa ufafanuzi kwa vyomba vya habari kuhusiana na uamuzi wake wa kuzuia msafara wa mgombea wa urais Chadema, Edward Lowassa, likisema kuwa lilifanya hivyo kutokana na wingi wa magari na pikipiki zilizokuwa zikimsindikiza.

Akizungumza na vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani, alisema msafara uliokuwa ukimsindikiza Lowassa kwenye mazishi ya aliyekuwa mwasisi wa Chama Cha Mapinduzi, Peter Kisumo,...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa. ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Arusha mchana mchana huu. Ndege hiyo ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati ikitua. Matairi yote manne ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani