Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA ZA SHEREHE YA KUMPONGEZA DR.MARIA J.KAMM KATIKA SHIRIKA LAKE MOSHI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14

Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK MARIA KAMM AIBUKA SHUJAA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Dk. Maria Kamm aliyetwaa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 ndani ya Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D, Dodoma jana usiku. Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimvisha medali ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014, Dk. Maria Kamm. Waziri Mkuu akimkabidhi tuzo, Anna Margareth Abdallah, kwa niaba ya mshindi wa pili ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro. Waziri Mkuu akimkabidhi...

 

9 years ago

Vijimambo

HABARI PICHA SHEREHE YA WAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD KIJIJINI MAKANYA SAME MOSHI

Mgurugenzi Kissa Pharmacy Ltd Ndugu Gaspar Kilango Singo akizungumza na wafanyakazi wake katika sherehe hiyo iliyofanyika kijijini kwao Mnazi Makanya Wilayani Same Moshi Kilimanjaro · Wafanyakazi Kissa Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wenye makao makuu jijini mbeya wakiserebuka katika sherehe ya wafanyakazi iliyoandaliwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ndugu Gasper Kilango Singo kijijini kwao Mnazi Makanya Kilimanjaro Moshi Ndugu na jamaa wa familia ya Kilango...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wapingana sherehe ya kumpongeza Rais

Rais Jakaya KikweteNA MWALI IBRAHIM

UMOJA wa mashirikisho ya sanaa Tanzania umepinga uwepo wa Umoja wa Wasanii ulioandaa sherehe ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Kamati ya umoja huo, Kimella Billa, alitangaza kutotambua umoja huo na kudai kwamba, kilichofanyika ni kinyume cha taratibu.

“Umoja huo haujasajiliwa, pia uwezo wa wasanii tunaufahamu, ni vigumu kufanya shughuli kubwa ile ambayo haikuwa na mdhamini, tunaamini kulikuwa na nguvu ya mtu...

 

10 years ago

Vijimambo

MATUKIO KATIKA PICHA MKUTANO WA BARAZA KUU LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

Ujumbe wa Tanzania unaendelea kushiriki katika kikao cha Mkutano Mkuu wa Kumi na saba wa Shirikia la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Congress 17), mijini Geneva, nchini Uswisi. Ujumbe huo umeshiriki katika matukio mbalimbali ya mkutano huo ikiwa ni pamoja na Dkt. Agnes Kijazi kushiriki katika siku ya Jinsia ya WMO (WMO Gender Day), kutoa mada zilizotoa uzoefu wa Tanzania wa utekelezaji wa program za utekelezaji wa programu ya utoaji wa huduma bora za hali ya hewa kwa jamii “Global Framework for...

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA SHIRIKA LA KIVULINI

Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la KIVULINI akitoa historia ya shirika la KIVULINI kwa wawakilishi wa mabaraza ya watoto mara baada ya kutembelea ofisi za shirika hilo hapo jana. KIVULINI ni shirika lisolo la kiserikali linalofanya shughuli za kupinga na kutetea Haki za Wanawake na Wasichana katika mikoa yote ya kanda ya ziwa pamoja na mkoa wa Singida tangu mwaka 1999. Afisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii toka Shirika la KIVULINI Bi. Khadija Liganga...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo.Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani