Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wapingana sherehe ya kumpongeza Rais

Rais Jakaya KikweteNA MWALI IBRAHIM

UMOJA wa mashirikisho ya sanaa Tanzania umepinga uwepo wa Umoja wa Wasanii ulioandaa sherehe ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Kamati ya umoja huo, Kimella Billa, alitangaza kutotambua umoja huo na kudai kwamba, kilichofanyika ni kinyume cha taratibu.

“Umoja huo haujasajiliwa, pia uwezo wa wasanii tunaufahamu, ni vigumu kufanya shughuli kubwa ile ambayo haikuwa na mdhamini, tunaamini kulikuwa na nguvu ya mtu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Makamu wa Rais, Waziri wapingana

JOTO la Bunge la Katiba, limeendelea kupanda ambapo jana Waziri wa Katiba na Sheria wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Abubakar Khamis Bakary, alijikuta akipingwa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Alli Iddi, kuhusu msimamo wa Zanzibar katika Bunge hilo.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI


Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington…

 

5 years ago

Michuzi

Baraza la wazazi Njombe lapitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli

Baraza la Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe lililoketi Juni 20/2020 chini ya Katibu wake wa Mkoa Ndg, Hussein Mwaikambo (Senetor) pamoja na mambo mengine kwa kauli moja lilipitisha Azimio la kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli kwa Utendaji wake uliotukuka.

Akizungumza na Wajumbe wa Baraza hilo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Njombe Ndg, Hussein Mwaikambo Katibu wa Jumuiya hiyo alisema, katika Kipindi cha Miaka mitano Rais...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini WashingtonRais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott...

 

9 years ago

Bongo5

Wasouth wamponda Rais Jacob Zuma kwa kumpongeza Cassper Nyovest kufuatia kujaza ukumbi unaochukua watu 20,000

706x410q70ranjeni-heaviness

Pongezi za Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kwa rapper Cassper Nyovest aliyeujaza ukumbi unaochukua watu 20,000 jijini Johannesburg, zimepokelewa kwa hisia tofauti.

706x410q70ranjeni-heaviness

Jumamosi iliyopita, Cassper aliweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kuujaza ukumbi huo peke yake. Zuma aliamua kuungana na mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini humo kutoa pongezi kwa hatua hiyo.

CSzsDLpUsAAZQ8P

Kwenye maelezo yake mafupi, Zuma alielezea kufurahishwa na hatua hiyo ambayo mara nyingi imekuwa ikifanikishwa na wasani wa nje...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWAPOKEA WAPANDA BASIKELI WALIOSAFIRI KILOMITA 830 KUTOKA MBEYA KUJA KUMPONGEZA IKULU, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani