Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUA YASABABISHA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI,MBUNGE LUCY OWENYA AWAFARJI WAATHIRIKA.


Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji. 

Mbunge wa viti maalumu ,Lucy Owenya (Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini ,Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo. 

Mbunge Lucy Owenya akitembelea maeneo yaliyo athirika na mafuriko hayo. 

Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mvua yasababisha mafuriko Moshi vijijini, Mbunge Lucy Owenya awafariji waathirika

E86A6621

Mbunge wa viti maalumu, Lucy Owenya (Chadema) (kulia) akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini, Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko hayo.

Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji.

 

Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi wa kiwanda cha TPC ili kuruhusu maji kupita. Mbunge Lucy Owenya...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE LUCY OWENYA AKABIDHI JEZI KWA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI YA LUCY OWENYA CUP 2015

Dkt Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini.Baadhi ya iongozi wa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali wakifunga jezi zao mara baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya hatua ya robo fainali. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Lucy Owenya Cup yazinduliwa jimbo la Moshi vijijini

DSCF4720

DSCF4689

Mbunge wa viti Maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini na kushirikisha kata 16 za jimbo hilo.

DSCF4696

DSCF4697

Baadhi ya wananchi waliohudhulia ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015.

DSCF4700

Mbunge Owenya akicheza ngoma katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup.

DSCF4705

Baadhi ya timu zinazoshiriki mashindano hayo zikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BONITE BOTTLERS YAMWAGA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI

Meneja masoko na mauzo wa kampuni ya Bonite,Christopher Loiruk akikabidhi msaada wa sukari kilo 750 kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Mikocheni,Kilungu na Chemi chemi.Meneja masoko na mauzo wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd ,Christopher Loiruk akikabidhi msaada wa maji zikiwa ni  katoni 500 kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Mikocheni,Kilungu...

 

10 years ago

GPL

MVUA ILIYONYESHA BAGAMOYO YASABABISHA MAFURIKO

Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi ya mabasi ya…

 

10 years ago

GPL

MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea. Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

GPL

MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO JIJINI MWANZA

Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha jijini Mwanza. Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza  kwa saa tatu na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo hasa sehemu za Mabatini na kusababisha nyumba nyingi kujaa maji. Mvua hiyo pia imesababisha hasara kubwa ya uharibifu wa mali huku…

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge Moshi Vijijini awapiga jeki wapiga kura

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Dk Cyril Chami, ametoa jumla ya Shilingi milioni nne kwa kikundi cha Wanawake wa Kanisa la Katoliki la Kindi (WAWATA) kuwawezesha kwenye mradi wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE

 Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Idd Swala (mwenye kanzu), ambaye alimwakilisha mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ridhiwani Kikwete akikabidhi kwa  wakaazi wa Chalinze misaada ya chakula baada ya  nyumba zao kuharibiwa vibaya kutokana  na mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani