LOWASSA ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa. ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Arusha mchana mchana huu. Ndege hiyo ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati ikitua. Matairi yote manne ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
IPPmedia26 Jan
Waziri anusurika kifo ajali ya ndege
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Lowassa anusurika ajali ya ndege Arusha
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Waziri anusurika ajali ya ndege
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Msichana anusurika ajali ya ndege
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Morgan Freeman anusurika ajali ya ndege
11 years ago
Habarileo14 Dec
Lowassa anusurika kifo
ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu wa zamani ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo, jana mchana.
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Keisha anusurika kifo kwenye ajali
Msanii wa Bongo Fleva,Khadija Shabani’Keisha’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Maktaba,Posta jijini Dar.
Akizungumza na Clouds Fm alisema kuwa alikuwa akitoka chuoni CBE na kwamba alikuwa akimfuata mumewe alipofika maeneo hayo ndipo lilipotokea gari na kumuovateki na kuligonga gari lake. Aidha alisema kuwa alisikia maumivu na alipokwenda hospitali kufanyiwa vipimo vilionyesha hakupata majeraha kwa ndani.
‘’Nashukuru Mungu nilipimwa hospitali vipimo vilionyesha sikupata madhara...
9 years ago
BBCSwahili27 Dec
Waziri mkuu wa Benin anusurika ajali ya ndege
10 years ago
CloudsFM26 Sep
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni.
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco,Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.