Polisi Moshi: Ilikuwa ni lazima kuzuia msafara wa Lowassa
Na Upendo Mosha, Mosha
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limetoa ufafanuzi kwa vyomba vya habari kuhusiana na uamuzi wake wa kuzuia msafara wa mgombea wa urais Chadema, Edward Lowassa, likisema kuwa lilifanya hivyo kutokana na wingi wa magari na pikipiki zilizokuwa zikimsindikiza.
Akizungumza na vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani, alisema msafara uliokuwa ukimsindikiza Lowassa kwenye mazishi ya aliyekuwa mwasisi wa Chama Cha Mapinduzi, Peter Kisumo,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Polisi yazuia msafara wa Lowassa
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pyQo_Qbi6bo/Vcy20L2oFJI/AAAAAAADWvQ/mCQkL5QzMo4/s72-c/IMG-20150813-WA0193.jpg)
LOWASSA AWAVAA POLISI BAADA YA KUSIMAMISHA MSAFARA WAKE HUKO KILIMANJARO
![](http://1.bp.blogspot.com/-pyQo_Qbi6bo/Vcy20L2oFJI/AAAAAAADWvQ/mCQkL5QzMo4/s640/IMG-20150813-WA0193.jpg)
Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa ameshindwa kuhudhuria mazishi ya mwanasiasa mkongwe hayati mzee Peter Kisumo yaliyokuwa yanafanyika Usangi mkoani Kilimanjaro baada ya msafara wake kuzuiliwa na polisi katika wilaya ya Mwanga kutokana na kuongozana na wananchi wakiwemo vijana waliokuwa na pikipiki waliokuwa wanakwenda kwenye mazishi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-OSSbuBYlOfU/Vcy20WRbmZI/AAAAAAADWvU/YgDbtcGqBLg/s640/IMG-20150813-WA0192.jpg)
9 years ago
StarTV20 Aug
Walinzi wa CHADEMA Walioongoza Msafara wa Lowassa Jijini Mbeya Watakiwa Kujisalimisha Polisi Kwa Ajili ya Mahojiano
10 years ago
Bongo531 Aug
Picha: Serengeti Fiesta 2014 Moshi ilikuwa ni shida
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Msafara wa Lowassa wapigwa mabomu
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Wananchi wazuia msafara wa Lowassa
Na Fredy Azzah, Korogwe
MSAFARA wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana ulizuiwa na wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Tanga ambao sehemu nyingine walikuwa wamebeba madumu ya maji kumwonyesha jinsi wanavyotaabika na kero hiyo.
Tukio la wananchi kusimamisha msafara wake wakiwa wamebeba madumu ya maji lilijitokeza katika eneo la Mkata wilayani Handeni ambao wananchi hao walimwambia kuwa hiyo ni...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Msafara wa Lowassa wazuiwa kumzika Kisumo
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Up2Riims6Js/VRE0TW6GmhI/AAAAAAAHM18/aHW_Om8UlN8/s72-c/1.jpg)
MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA WAPOKELEWA KWA FARASI MIKOCHENI -WILAYA YA MOSHI VIJIJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Up2Riims6Js/VRE0TW6GmhI/AAAAAAAHM18/aHW_Om8UlN8/s1600/1.jpg)
10 years ago
Vijimambo13 Aug
WANANCHI WAZUIA MSAFARA WA LOWASSA.. WATAKA KUMUONA
![](https://scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xfa1/v/t1.0-9/11822644_827287600721233_2620922360165982130_n.jpg?oh=30d1fd602b9591b48172e87f53c3c3c2&oe=56358E5B)
![](https://m.ak.fbcdn.net/sphotos-a.ak/hphotos-ak-xpt1/v/t1.0-9/11831757_827287364054590_1791934242648327718_n.jpg?oh=5066f7bfd12f58c6d28c4f0454d0129c&oe=564439DB&__gda__=1446612703_f0c7dac3f41baa4289dd711753ff29b7)
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/11836864_724179194375654_117757421434648460_n.jpg?oh=40087e796db36e7d108417f1a91b80c5&oe=563EF695)
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xtp1/v/t1.0-9/q87/s480x480/11891002_724179221042318_3026052792472242809_n.jpg?oh=383006701de1dbb6e1d4c9e8b977077c&oe=56488AC3)
Polisi wa Mwanga wamezuia msafara wa mhe. Lowassa kijiji cha Maroro wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana mhe.Mbatia, mhe Ndesamburo na mhe. Augustino mrema ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.......KWA HABARI Zaidi, Soma =>.www.africanmishe.blogspot.com