Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wazuia msafara wa Lowassa

LOWASSA MUHEZA 1Na Fredy Azzah, Korogwe

MSAFARA wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana ulizuiwa na wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Tanga ambao sehemu nyingine walikuwa wamebeba madumu ya maji kumwonyesha jinsi wanavyotaabika na kero hiyo.

Tukio la wananchi kusimamisha msafara wake wakiwa wamebeba madumu ya maji lilijitokeza katika eneo la Mkata wilayani Handeni ambao wananchi hao walimwambia   kuwa hiyo ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WAZUIA MSAFARA WA LOWASSA.. WATAKA KUMUONA

Msafara wa Mhe.Lowassa wazuiliwa na wananchi mosh wakililia kumuona maeneo ya Boma akitokea KIA kuelekea msibani Mwanga..

Polisi wa Mwanga wamezuia msafara wa mhe. Lowassa kijiji cha Maroro wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana mhe.Mbatia, mhe Ndesamburo na mhe. Augustino mrema ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.......KWA HABARI Zaidi, Soma =>.www.africanmishe.blogspot.com

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wazuia msafara wa Kinana

kinanaNA ELIYA MBONEA, BAHI
MAMIA ya wananchi katika Kata ya Msisi, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, wamesimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakitaka kupata ufafanuzi wa majengo ya Shule ya Msingi Msisi yaliyoezuliwa na mvua mwaka 2011.
Kinana alikutana na hali hiyo juzi saa 12:30 jioni alipokuwa akitoka katika vijiji vya Kongogo, Chonde, Irindi, Nguju na Lamaiti akielekea mjini Dodoma.
Kinana yuko mkoani Dodoma kushiriki shughuli za maendeleo, kukagua utekelezaji wa ilani...

 

9 years ago

StarTV

Wananchi wazuia msafara wa Mgombea mwenza wa CCM-Mwanga

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.

Mjumbe Mkuu wa Baraza Kuu la Wanawake na Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Same, Anjela Kailuki akizungumza alipokuwa anamnadi Bi. Samia Suluhu,BAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamelazimika kuuzuia msafara wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais leo alipokuwa njiani akitokea Wilaya ya Same kuelekea Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro huku wakimuomba awasalimu na kuzungumza nao, kabla ya kuendelea na safari yake. Bi. Samia Suluhu alilazimika kuusimamisha msafara wake baada ya wananchi hao kusogea zaidi barabarani wakati akipita huku wakinyoosha mikono ya kumuomba...

 

5 years ago

Michuzi

WAMACHNGA SOKO LA SAMUNGE WAKOSHWA NA RC GAMBO WAZUIA MSAFARA WAKE KWA MUDA HUKU WAKIIMBA CCM CCM


Sehemu ya Soko la Samunge linavyoonekana Mara baada ya kufanyiwa Usafi baada ya kuteketea kwa Moto mwishoni mwa wiki iliyopita picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Muonekano wa Soko la machinga Samunge kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha leo leo majira ya jioni wakati wa ziara ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo

Pichani ni eneo la Magharibi la soko la Samunge lilivyoonekana jioni hii baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kutoa Mabati Mia Saba ya kuanza ujenzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi wazuia usimikaji wa nguzo za minara ya umeme wa 400KV, Msigiri Iramba, hawajalipwa fidia

KIJKO

Kijiko cha kampuni inayojenga nguzo za umeme za 400KV kutoka Shinyanga – Singida (KEC) kikifukia mashimbo ambayo tayari yalikuwayamechimbwa kwa ajili ya kusimika minara katika kijiji cha Misigiri Kata ya Ulemo Wilayani Iramba, kutokana na wananchi 17 kutolipwa fidia za mashamba yao na shirika la ugavi wa umeme TANESCO.

MHINDI

Mfanyakazi wa Kampuni ya KEC wakishangaa eneo la Site iliyozuiwa kusimikwa minara na wananchi wa kijiji cha Misigiri.

MWKT

Mwenyekiti wa kijiji cha Misigiri Nelson Kiula...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yazuia msafara wa Lowassa

Jeshi la Polisi, jana liliuzuia msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa kwenda Usangi, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kushiriki mazishi ya kada wa CCM, Peter Kisumo, likitaka kupunguzwa kwa idadi ya watu.

 

9 years ago

Mwananchi

Msafara wa Lowassa wapigwa mabomu

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana kwa mara ya kwanza alikumbana na joto la upinzani baada ya msafara wake kushambuliwa na mabomu ya polisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Msafara wa Lowassa wazuiwa kumzika Kisumo

Polisi mjini Mwanga, mkoani Kilimanjaro umezuia msafara wa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa uliokuwa unaelekea Usangi kuhudhuria mazishi ya kada wa CCM, Peter Kisumo.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi Moshi: Ilikuwa ni lazima kuzuia msafara wa Lowassa

RPCNa Upendo Mosha, Mosha

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro limetoa ufafanuzi kwa vyomba vya habari kuhusiana na uamuzi wake wa kuzuia msafara wa mgombea wa urais Chadema, Edward Lowassa, likisema kuwa lilifanya hivyo kutokana na wingi wa magari na pikipiki zilizokuwa zikimsindikiza.

Akizungumza na vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence Ngonyani, alisema msafara uliokuwa ukimsindikiza Lowassa kwenye mazishi ya aliyekuwa mwasisi wa Chama Cha Mapinduzi, Peter Kisumo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani