Walimu waliojiongezea madai kukiona
SERIKALI imesema itawachukulia hatua walimu wote waliojiongezea madai kwa udanganyifu na kuahidi kuwalipa wale wote wenye madai halali. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa na Waziri wa Tawala za Mikoa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Oct
Walimu wanaovaa vimini, vimodo kukiona
HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo’. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew wakati akizungumza na walimu wapya wa shule za msingi kwenye semina elekezi inayohusu utendaji wa kazi zao.
9 years ago
Mwananchi20 Aug
CWT yaitega Serikali madai ya walimu
10 years ago
Habarileo11 Jan
Tucta yajivua lawama madai ya walimu
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanya kazi (TUCTA) limesema kutokana na madai ya walimu yakiwamo malimbikizo ya fedha za likizo na kupandishwa madaraja kuwa ya muda mrefu, wameamua kila wilaya waende kudai wenyewe kwa wakurugenzi wao.
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NeZSb8inmZg/XsNwbcdl5GI/AAAAAAALqtU/fB7I1rBmzecoLfLGFJIJnH212rT3ZKKxwCLcBGAsYHQ/s72-c/873cfe13-d758-4251-8b9e-f44638d623d6.jpg)
JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanaowadhalilisha Watoto kukiona UK
9 years ago
Habarileo22 Dec
Wanaozidisha uzito kukiona
WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inakusudia kuongeza adhabu ya tozo kwa magari yanayokamatwa yamezidisha mizigo na kusababisha barabara kuharibika. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Edwin Ngonyani alisema hayo juzi wakati wa ziara yake kukagua miradi ya miundombinu ya barabara ya Magole –Turiani, wilayani Mvomero yenye urefu wa kilometa 48.6 pamoja na ujenzi wa mizani inayotembea katika barabara kuu eneo la Mikese , wilaya ya Morogoro.