Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tucta yajivua lawama madai ya walimu

Katibu Mkuu wa Tucta, Nicholaus MgayaSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanya kazi (TUCTA) limesema kutokana na madai ya walimu yakiwamo malimbikizo ya fedha za likizo na kupandishwa madaraja kuwa ya muda mrefu, wameamua kila wilaya waende kudai wenyewe kwa wakurugenzi wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016

New Picture (4)

Na Mwandishi wetu

Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.

Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu waliojiongezea madai kukiona

SERIKALI imesema itawachukulia hatua walimu wote waliojiongezea madai kwa udanganyifu na kuahidi kuwalipa wale wote wenye madai halali. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa na Waziri wa Tawala za Mikoa na...

 

10 years ago

Mwananchi

CWT yaitega Serikali madai ya walimu

Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kimeitaka Serikali kutekeleza madai ya ahadi za walimu kama walivyokubaliana na chama hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.

Na Rabi Hume

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.

Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magamba yajivua CHADEMA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hivi sasa kipo katika mapito magumu ya kujiimarisha yanayoenda sambamba na makada wake kujiengua ndani ya chama hicho kwa madai mbalimbali, ikiwamo hofu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yajivua mipaka ya Bunge

>Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imejivua katika mgogoro wa mamlaka ya Bunge la Katiba kuhusu ni kwa kiwango gani bunge hilo lina  mamlaka ya kufanya  marekebisho au kuboresho Rasimu ya Katiba Mpya iliyowasilishwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA



Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani