Wanaovaa hovyo vyuoni kudhibitiwa
SERA ya kudhibiti mavazi yasiyoendana na maadili, yanayovaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini, inaelezwa itakuwa muarobaini kwa wanafunzi husika. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, Mkuu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Dec
RC aonya siasa za hovyo hovyo Arusha
MKUU mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda `Kijiko’ amevitaka vyama vya siasa mkoani hapa kuepuka siasa zozote zinazoingilia utendaji wa Serikali na kusisitiza atapambana hadi dakika za mwisho ili kuhakikisha siasa hizo hazipati nafasi.
9 years ago
Bongo517 Nov
Snura: Shilole ni mtu wa kubwatuka hovyo
![SNURAAAA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/05/SNURAAAA-300x194.jpg)
Baada ya Shilole kumkejeli Snura kwa kudai sio hadhi yake na asifananishwe naye, Snura amejibu mapigo
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Snura alisema ameshamzoea Shilole ni mtu wa kubwatuka.
“Ni yeye ndio amezungumza sio mashabiki. Kama wangeongea mashabiki kweli lingenigusa na kunifanya nijiangalie tena kwa mara mbili au mara tatu lakini yeye kama yeye ndio kaongea,” alisema.
“Lakini yeye ni mtu wa kubwatuka hovyo kwenye interview na kuponda. Ile ni dalili kwamba...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PlBbBhR718U/VKFIjdZeMmI/AAAAAAAG6Zc/SX5Bc12q4Lk/s72-c/4.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Malezi ya hovyo ya Makonda yasituzuie kujadili Katiba
BIBLIA Takatifu inasema kuwa; “Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye makwazo hayo yaja kwa sababu yake; ni afadhali akafungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini,...
9 years ago
Bongo503 Dec
Wasanii tunaogopa kutoa ngoma hovyo – Linex
![11821781_479761088871687_536245769_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/11821781_479761088871687_536245769_n-300x194.jpg)
Linex amesema mwaka huu hatatoa tena wimbo ili apate muda wa kujipanga zaidi kwaajili ya mwaka ujao.
Linex amekiri kuwa kuna baadhi ya wasanii sasa hivi wamekuwa waoga wa kutoa nyimbo zao hovyo kutokana na muziki kubadilika.
“Game inahitaji mipango sasa hivi, yaani manyimbo yapo kibao tu ndani ila sasa kutoa ndio inakuwa shida,” ameiambia Bongo5.
“Sasa hivi hata ukiangalia wasanii wanaogopa kutoa single hovyo kama zamani. Sasa hivi unahitaji kufanya muziki ambao utanufaika nao yaani hata...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Walimu wanaovaa vimini, vimodo kukiona
HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo’. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew wakati akizungumza na walimu wapya wa shule za msingi kwenye semina elekezi inayohusu utendaji wa kazi zao.
11 years ago
Habarileo22 Jul
JWTZ yaonya wanaovaa sare zake
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya juu ya matumizi ya sare na vifaa vingine vya majeshi kwa watu wasiohusika. Limetangaza kuwa hatua kali za kisheria, zitachukuliwa dhidi ya watu hao.
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Wanawake wanaovaa nguo nyekundu huvutia