RC aonya siasa za hovyo hovyo Arusha
MKUU mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda `Kijiko’ amevitaka vyama vya siasa mkoani hapa kuepuka siasa zozote zinazoingilia utendaji wa Serikali na kusisitiza atapambana hadi dakika za mwisho ili kuhakikisha siasa hizo hazipati nafasi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Wanaovaa hovyo vyuoni kudhibitiwa
SERA ya kudhibiti mavazi yasiyoendana na maadili, yanayovaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini, inaelezwa itakuwa muarobaini kwa wanafunzi husika. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, Mkuu wa...
9 years ago
Bongo517 Nov
Snura: Shilole ni mtu wa kubwatuka hovyo

Baada ya Shilole kumkejeli Snura kwa kudai sio hadhi yake na asifananishwe naye, Snura amejibu mapigo
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, Snura alisema ameshamzoea Shilole ni mtu wa kubwatuka.
“Ni yeye ndio amezungumza sio mashabiki. Kama wangeongea mashabiki kweli lingenigusa na kunifanya nijiangalie tena kwa mara mbili au mara tatu lakini yeye kama yeye ndio kaongea,” alisema.
“Lakini yeye ni mtu wa kubwatuka hovyo kwenye interview na kuponda. Ile ni dalili kwamba...
10 years ago
Michuzi
9 years ago
Bongo503 Dec
Wasanii tunaogopa kutoa ngoma hovyo – Linex

Linex amesema mwaka huu hatatoa tena wimbo ili apate muda wa kujipanga zaidi kwaajili ya mwaka ujao.
Linex amekiri kuwa kuna baadhi ya wasanii sasa hivi wamekuwa waoga wa kutoa nyimbo zao hovyo kutokana na muziki kubadilika.
“Game inahitaji mipango sasa hivi, yaani manyimbo yapo kibao tu ndani ila sasa kutoa ndio inakuwa shida,” ameiambia Bongo5.
“Sasa hivi hata ukiangalia wasanii wanaogopa kutoa single hovyo kama zamani. Sasa hivi unahitaji kufanya muziki ambao utanufaika nao yaani hata...
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Malezi ya hovyo ya Makonda yasituzuie kujadili Katiba
BIBLIA Takatifu inasema kuwa; “Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye makwazo hayo yaja kwa sababu yake; ni afadhali akafungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini,...
11 years ago
Habarileo06 Mar
Ukataji wa mikoko hovyo wakaribisha bahari nchi kavu
KASI ya ukataji wa miti aina ya mikoko Unguja na Pemba kwa ajili ya matumizi ya chokaa na kuni yanatishia uhai wa miti hiyo ambayo huzuia kasi ya maji ya bahari kuvamia nchi kavu. Ofisa wa Idara ya Misitu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Soud Ali alisema zaidi ya hekta 4,000 za miti aina ya mikoko zinakatwa kila mwaka kwa ajili ya matumizi mbali mbali ikiwemo kuni, chokaa na ujenzi wa nyumba za kuishi.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Matukio ya hovyo ni kielelezo cha ulegevu katika taifa
SINA hakika katika nchi nyingine mambo yanakuwa vipi. Ila kwa Tanzania ni kawaida likitokea tukio kubwa watu huzizima kwa siku mbili-tatu halafu baada ya hapo mambo yanapita inakuwa kama vile...
11 years ago
Habarileo15 Sep
Mangula aonya siasa za chuki
VYAMA vya siasa nchini, vimeaswa kutogeuza tofauti za kiitikadi na ilani za vyama kuwa chanzo cha chuki baina ya vyama na wafuasi wake, na badala yake vinapaswa kuwa na umoja wenye kuwa na maslahi ya wananchi.
10 years ago
Habarileo13 Apr
JK aonya chokochoko za siasa kupitia dini
RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao wanatumia tofauti za dini zilizopo nchini kwa uchu wa kuingia madarakani.