Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii tunaogopa kutoa ngoma hovyo – Linex

11821781_479761088871687_536245769_n

Linex amesema mwaka huu hatatoa tena wimbo ili apate muda wa kujipanga zaidi kwaajili ya mwaka ujao.

11821781_479761088871687_536245769_n

Linex amekiri kuwa kuna baadhi ya wasanii sasa hivi wamekuwa waoga wa kutoa nyimbo zao hovyo kutokana na muziki kubadilika.

“Game inahitaji mipango sasa hivi, yaani manyimbo yapo kibao tu ndani ila sasa kutoa ndio inakuwa shida,” ameiambia Bongo5.

“Sasa hivi hata ukiangalia wasanii wanaogopa kutoa single hovyo kama zamani. Sasa hivi unahitaji kufanya muziki ambao utanufaika nao yaani hata...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

RC aonya siasa za hovyo hovyo Arusha

Daud Felix Ntibenda `Kijiko’ MKUU mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda `Kijiko’ amevitaka vyama vya siasa mkoani hapa kuepuka siasa zozote zinazoingilia utendaji wa Serikali na kusisitiza atapambana hadi dakika za mwisho ili kuhakikisha siasa hizo hazipati nafasi.

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

10 years ago

Bongo5

Diddy kutengeneza ngoma za Kanye West na wasanii wengine

Diddy ameamua kurudi tena kufanya kile anachokipenda zaidi – utayarishaji wa muziki. Rapper huyo tajiri amesema atafanya hivyo kwa kipindi cha miezi 12 peke yake kabla ya kuendelea na mambo mengine. Miongoni mwa wasanii ambao atashiriki kutengeneza ngoma ni Kanye West. “Yes the rumors are true. It’s been a long time since I had been […]

 

10 years ago

Vijimambo

DOGO ALIYE KATAZWA KUTOA NGOMA NA MR BLUE KAIACHIA

Ni upcoming wa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania maarufu kwa jina la ‘Msami’ ambaye aliwahi kupigwa biti na Mr Blue kwa madai ya kwamba Blue hataki Dogo atoe ngoma zake kisa sauti zao zinafanana.Hivyo basi Dogo msami kashindwa kuvumilia na kuamua kuachia ngoma moja inayoitwa ‘Hajawahi’ ukisikiliza nilazima ucheke maana unaweza ukazania ni Mr. Blue kabisa ngoma imetengezwa na Producer Mo fire katika studio ya Fire music. Sikiliza hapa:

 

11 years ago

Mwananchi

Wasanii kutoa wimbo wa amani

Waimbaji mahiri wa muziki wa Injili watatunga wimbo maalumu wa kuhamasisha amani na upendo nchini.

 

10 years ago

Bongo5

Producer Dupy adai wasanii wakubwa ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure!

Wasanii wakubwa wa muziki nchini ni mabingwa wa kurekodi ngoma bure, kwa mujibu wa producer wa Upraise Records, Dupy. Dupy amedai kuwa hali hiyo imemfanya hadi sasa kuwa na nyimbo alizowatengeneza Izzo B na Juma Nature pekee. “Wasanii wengi wakubwa wana zile za kujuana,” Dupy ameiambia Bomba Base Show ya Bomba FM Radio, Mbeya. “Mtu […]

 

9 years ago

Habarileo

Wasanii Injili kutoa wimbo wa amani

WAIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili wanatarajiwa kutoa wimbo maalumu wa kuhamasisha amani na upendo wakati wa Tamasha la Amani litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani