Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOGO ALIYE KATAZWA KUTOA NGOMA NA MR BLUE KAIACHIA

Ni upcoming wa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania maarufu kwa jina la ‘Msami’ ambaye aliwahi kupigwa biti na Mr Blue kwa madai ya kwamba Blue hataki Dogo atoe ngoma zake kisa sauti zao zinafanana.Hivyo basi Dogo msami kashindwa kuvumilia na kuamua kuachia ngoma moja inayoitwa ‘Hajawahi’ ukisikiliza nilazima ucheke maana unaweza ukazania ni Mr. Blue kabisa ngoma imetengezwa na Producer Mo fire katika studio ya Fire music. Sikiliza hapa:

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Dogo Aslay:Mkubwa Fella ndiye mtunzi wa ngoma ya ‘nitakupwelepweta’

Mkali kutoka kwenye bendi mahiri hapa nchini ya Yamoto Ban,Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’amemtaja mtunzi wa ngoma ya yenye mashairi yenye utata ambayo inafanya vyema kwenye vituo vya redio na tv ya ‘‘nitakupwelepweta’kuwa ni mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanae,Said Fella’’Mkubwa Fella’’.Alisema kuwa ngoma hiyo siyo kwamba ujumbe wake wameimbiwa wanawake peke yao kama ambavyo watu wengi wanavyohani lakini pia wanaume watu wazima wenye tabia ya kutembea na wasichana na wavulana wenye umri...

 

10 years ago

Bongo5

Diamond au Alikiba? Mr Blue aeleza yupi anayependa kufanya naye ngoma

Kihistoria, Diamond na Alikiba ni wadogo zake Mr Blue. Wakati Mr Blue anatamba na ngoma zake ikiwemo Mapozi, hakuna aliyekuwa akiwafahau wawili hao. Na kuna wakati Blue aliwahi kusimulia namna alivyokerwa na tabia ya Diamond ya kutembea na ex wake akiwe Wema na Najma. Hata Hivyo rapper huyo wa Pesa, amesema anawakubali wote Alikiba na […]

 

10 years ago

Bongo5

Kama ingefeli, ‘Pesa’ ingekuwa ngoma ya mwisho ya Mr Blue, alipanga kutimkia Ulaya

Huenda Mr Blue asingesikika tena kwenye muziki kutokana na maisha kwenda kombo na kwamba ‘Pesa’ ingekuwa ngoma yake ya mwisho. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, rapper huyo alidai kuwa kama ngoma yake ‘Pesa’ ingebuma, angeachana kabisa na muziki na kuzamia Ulaya. “Pesa kama Pesa ilikuwa ni project yangu ya mwisho,” alisema […]

 

11 years ago

GPL

DOGO LILA NA DOGO HILAL WAKIFANYA YAO NDANI YA DAR LIVE

Dogo Lila na Dogo Hilal wakifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Dar Live.

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii tunaogopa kutoa ngoma hovyo – Linex

11821781_479761088871687_536245769_n

Linex amesema mwaka huu hatatoa tena wimbo ili apate muda wa kujipanga zaidi kwaajili ya mwaka ujao.

11821781_479761088871687_536245769_n

Linex amekiri kuwa kuna baadhi ya wasanii sasa hivi wamekuwa waoga wa kutoa nyimbo zao hovyo kutokana na muziki kubadilika.

“Game inahitaji mipango sasa hivi, yaani manyimbo yapo kibao tu ndani ila sasa kutoa ndio inakuwa shida,” ameiambia Bongo5.

“Sasa hivi hata ukiangalia wasanii wanaogopa kutoa single hovyo kama zamani. Sasa hivi unahitaji kufanya muziki ambao utanufaika nao yaani hata...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliye pandikizwa uume,baba mtarajiwa

Daktari wa usapuaji nchini Afrika Kusini amethibitisha kwamba mwanamme wa kwanza aliyepandikizwa uume atakuwa baba hivi karibuni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliye waua Waingereza wawili kunyongwa

Mahakama ya Malaysia imemkuta na hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya wanafunzi wawili wa Uingereza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani